Jumatatu, 16 Novemba 2015

UGONJWA WA FIGO

                                                            UGONJWA WA FIGO
             




     FIGO
Ni kiiungo ambacho kinasaidia kuchuja uchafu kutoka kwenye damu.Ina kichujio ambacho kinaitwa glomerulus kinachuja uchafu na kupeleka kwenye kibofu cha mkojo kupitia mirija ambayo inaitwa ureters.
Zinasaidia pia kusawazisha shinikizo la damu kubalance mwili,kusawazisha chembechembe nyekundu katika mwili.

DALILI ZA UGONJWA WA FIGO
·      Ni malimbikizo ya uchafu(urea)kutoka mwilini na kujaa kwenye figo-huwa inasababisha:
1.  Udhaifu wa mwili,kukosa pumzi ,kuchanganyikiwa,figo kushindwa kuchuja urea(potassium) huwa inasababisha mapigo ya moyo kwenda mbio.
2.  Damu kwenye mkojo
3.  Kuumwa sana na tumbo chini ya  kitovu
4.  Mafua yasiyoisha
5.  Uzito wa mwili kuongezeka bila mpangilio
6.  Kuhema sana ukitembea hatua chache
7.  Kutokwa na jasho mara kwa mara.
8.  Kuwashwa mwili  mara kwa mara na kusikia kizunguzungu
9.  Miguu kuvimba,ukibonyeza ni kama papai lililoiva.
10. Pressure ya kushuka
11. Kukojoa mkojo wa njano,kukosa mkojo kabisa au kukojoa mdogo kwa kipindi .
12. Mawe kwenye figo(kidney stones)
13. Uric acid.
TIBA
· Kufanyiwa upasuaji au kubadilishiwa figo
· Kutumia dawa za kutibu figo
· Control ya blood pressure + kisukari maana vinachangia sana
· Epukana na ulaji mwingi wa chumvi au sukari.
 
kama una tatizo hilo la figo tufikie lupimo sanitarium clinic, na sisi hatufanyi upasuaji tutakupa dawa ambayo itakwenda kurekebisha figo zako, lupimo sanitarium clinic ni clinic ya tiba mbadala ambayo inatoa huduma ya kiafya kwa kutumia mimea pamoja na matunda.
 
TUFIKIE KATIKA VITUO VYETU VILIVYOPO MIKOA MBALIMBALI HAPA NCHINI
 
 
VITUO VYETU TUNAVYOPATIKANA LUPIMO SANITARIUM CLINIC NI KAMA IFUATAYO. IRINGA TUPO KIHESA NJIA PANDA YA MTWIVILA, MBEYA TUPO SOWETO KARIBU NA UWANJA WA SHULE YA MSINGI MWENGE, DAR ES SALAAM TUPO SINZA MORI AU SINZA MAPAMBANO NYUMA YA UKUMBI WA LULU, DODOMA TUPO AREA C KARIBU NA MSIKITI WA AREA C, SINGIDA TUPO MANYONI NJIA PANDA YA KUELEKEA CHIKOLA NA HEKA, GEITA TUPO MITI MIREFU KARIBU NA BICK HOTEL, MWANZA TUPO NYEGEZI KITUO CHA KIJIWENI AU KALFONIA, 

 kwa maelezo zaidi,maoni au ushauri wasiliana nasi kwa simu namba 0769368546,0719097574 na 0742120577 pia www.facebook.com/lupimoclinic,www.twitter.com/lupimoclinic na www.hulkshare.com/lupimoclinic.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni