UGONJWA WA HEMORRHOIDS/BAWASILI
UGONJWA WA HEMORRHOIDS/BAWASILI
Bawasili
ni ugonjwa ambao unatokana na nyama kuota sehemu za haja kubwa ndani au nje ya
haja kubwa.Ni mishipa ya damu (veins)ambayo huwa inavimba.Unaweza ukasikia
maumivu,muwasho au kutokwa na damu
nyeusi au mbichi au au usaha wakati mwingine kutoka sehemu hizo za haja
kubwa.tiba inategemea na dawa unazoweza kutumia,staili ya maisha yako au upasuaji.unapoona
tatizo linaongezeka muone daktari haraka.
CHANZO
NI NINI?
Bawasili
inasababishwa presha kubwa sehemu za haja kubwa (rectum)hii preha huwa
inatokana na:
·
Kufanya
mazoezi magumu kwa kukandamiza sana tumbo.
·
Kukosa
choo kwa muda mrefu(constipation)au kuharisha mara kwa mara kwa muda mrefu.
·
Upungufu
wa uzito au uzito kuongezeka(obesity)
·
Wakati
wa ujauzito(underweight).
·
Kuingiliwa
kinyume na maumbile(homosexual).
·
Kukosa
roughage
·
Kuumizwa
uti wa mgongo.
·
Staili
ya au kukaa ukiwa umeinama,.
Bawasili huwa inatokea kwa watu ambao mishipa ya damu
inatanuka sehemu za haja kubwa.
DALILI.
Dalili
huwa zinategemea na sehemu iliko bawasili.Inaweza iwe ndani ya haja kubwa au
nje ya haja kubwa.
Bawasili
ya ndani ya haja kubwa huwa inauma ndani kwa ndani na wakati mwingine
haitambuliki mapema.Lakini wakati wa kujisaidia haja kubwa inaweza ikachana ule
uvimbe na kutoa damu au muwasho sana.
Bawasili
ya nje huwa inajitokeza sehemu za haja kubwa kwa nje.huwa zinauma,kuwa au kutoa
damu.Bawasili za nje hutokana na damu kujaa kwa mishipa na kusababisha uvimbe
mkubwa,saizi ya yai la kuku.
BAWASILI
YA NJE UTAITAMBUA KWA:
·
Kupata
maumivu makali sehemu za haja kubwa wakati wa kukaa au kufanya mazoezi
·
Kupata
muwasho sehemu za haja kubwa.
·
Damu
mbichi zu nyeusi kwenye kinyesi
·
Uvimbe
sehemu za haja kubwa.
Dalili
za kutokwa na damu sehemu za haja kubwa ndo dalili mbaya sana kwa sababu
inaweza ikazalisha tatizo linguine kama saratani mtafute daktari.
·
Unapotokwa
na damu nyingi sehemu za haja kubwa.
·
Vidonda
vinapotokea sehemu za haja kubwa
·
Unatambua
kinyesi kuwa na damu nyeusi
TIBA
lupimo sanitarium clinic sisi hatufanyi upasuaji kuondoa tatizo hilo bali tutakupa dawa ya kunywa na ya kupaka ili kuondoa tatizo hilo.
kama unatatizo hilo tufikie lupimo sanitarium clinic tukupatie matibabu usiendelee kuteseka na huo ugonjwa huo.
KUZUIA
·
Hakikisha
unapata choo kilaini.kukosa choo au kupata choo kigumu kunachangia sana tatizo
hili.
Mambo
yafuatayo yanaweza yakakusaidia kuepukana na bawasili.
·
Kula
vyakula ambavyo vina fibre(roughage)mboga za majani
·
Kunywa
maji ya kutosha
·
Unapoenda
haja kubwa usijikamue sana
·
Usikae muda mrefu ukiwa umezuia haja kubwa.
·
Pata
mazoezi ya kutosha
·
Epukana
na kukaa muda mrefu kila siku bila kunyanyuka.
TUFIKIE KATIKA VITUO VYETU VYA LUPIMO SANITARIUM CLINIC VILIVYOPO MIKOA MBALIMBALI HAPA NCHINI
VITUO VYETU TUNAVYOPATIKANA LUPIMO SANITARIUM CLINIC NI KAMA
IFUATAYO. IRINGA TUPO KIHESA NJIA PANDA YA MTWIVILA, MBEYA TUPO SOWETO KARIBU
NA UWANJA WA SHULE YA MSINGI MWENGE, DAR ES SALAAM TUPO SINZA MORI AU SINZA
MAPAMBANO NYUMA YA UKUMBI WA LULU, DODOMA TUPO AREA C KARIBU NA MSIKITI WA AREA
C, SINGIDA TUPO MANYONI NJIA PANDA YA KUELEKEA CHIKOLA NA HEKA, GEITA TUPO MITI
MIREFU KARIBU NA BICK HOTEL, MWANZA TUPO NYEGEZI KITUO CHA KIJIWENI AU
KALFONIA,
kwa maelezo zaidi,maoni au ushauri wasiliana nasi kwa simu namba
0769368546,0719097574 na 0742120577 pia
www.facebook.com/lupimoclinic,www.twitter.com/lupimoclinic na
www.hulkshare.com/lupimoclinic.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni