vituo vyetu tunavyopatikana
lupimo sanitarium clinic ni kama ifuatayo. iringa tupo kihesa njia panda ya
mtwivila, mbeya tupo soweto karibu na uwanja wa shule ya msingi mwenge, dar es
salaam tupo sinza mori au sinza mapambano nyuma ya ukumbi wa lulu, dodoma tupo
area c karibu na msikiti wa area c, singida tupo manyoni njia panda ya kuelekea
chikola na heka, geita tupo miti mirefu karibu na bick hotel, mwanza tupo
nyegezi kituo cha kijiweni au kalfonia,
kwa maelezo zaidi,maoni au ushauri wasiliana nasi kwa simu namba 0769368546,0719097574 na 0742120577 pia www.facebook.com/lupimoclinic,www.twitter.com/lupimoclinic na www.hulkshare.com/lupimoclinictanzania.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni