LUPIMO SANITARIUM CLINIC BADO INAENDELEA KUKUTAKIA HERI YA X MAS NA MWAKA MPYA LAKINI KUMBUKA BADO INAENDELEA KUKULETEA OFA YA KUPIMA BURE MWILI MZIMA HADI TAREHE 30 12 2015 MWISHO WAHI UFAIDIKE NA OFA HII KABLA HAIJAISHA NA KUMBUKA KUJA NA SHILINGI 50000 KWA AJILI YA KUMWONA TABIBU, NA INAANZA SAA MOJA HADI SAA NNE ASUBUHI MWISHO KATIKA VITUO VYOTE VYA LUPIMO KASORO KITUO CHA DAR ES SALAAM
LUPIMO TUNAPATIKANA MIKOA MBALIMBALI HAPA NCHINI
VITUO VYETU
TUNAVYOPATIKANA LUPIMO SANITARIUM CLINIC NI KAMA IFUATAYO. IRINGA TUPO KIHESA
NJIA PANDA YA MTWIVILA, MBEYA TUPO SOWETO KARIBU NA UWANJA WA SHULE YA MSINGI
MWENGE, DAR ES SALAAM TUPO SINZA MORI AU SINZA MAPAMBANO NYUMA YA UKUMBI WA
LULU, DODOMA TUPO AREA C KARIBU NA MSIKITI WA AREA C, SINGIDA TUPO MANYONI NJIA
PANDA YA KUELEKEA CHIKOLA NA HEKA, GEITA TUPO MITI MIREFU KARIBU NA BICK HOTEL,
MWANZA TUPO NYEGEZI KITUO CHA KIJIWENI AU KALFONIA,
kwa maelezo
zaidi,maoni au ushauri wasiliana nasi kwa simu namba 0769368546,0719097574 na
0742120577 pia www.facebook.com/lupimoclinic,www.twitter.com/lupimoclinic na
www.hulkshare.com/lupimoclinic.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni