Jumamosi, 22 Novemba 2014

UGONJWA WA FANGASI NI TATIZO(KIPINDI AUDIO)

Karibu katika mfululizo wa vipindi vya afya kutoka Lupimo Sanitarium Clinic ambapo leo tunaye tena Daktari mtaalamu kabisa Alfredy Lupia anatoa somo kuhusu magonjwa ya Fangasi.

Kama una swali,maoni au ushauri wasiliana nasi kwa simu namba 0769368546,0719097574 na 0754301115
pia www.facebook.com/lupimoclinic,www.twitter.com/lupimoclinic na www.hulkshare.com/lupimoclinic

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni