Ijumaa, 27 Novemba 2015

                    OFA OAFA OFA OAFA OFA OFA

LUPIMO SANITARIUM CLINIC WANAKULETEA OFA YA VIPIMO VYA KUPIMA MWILI MZIMA  BUUURE KABISA BILA MALIPO YOYOTE, OFA HIYO ITAANZA TAREHE 01 12 2015 HADI TAREHE 01 01 2016 KUANZIA SAA MBILI KAMILI HADI SAA NNE ASUBUHI UKICHELEWA HAPO ITAKUGHARIMU LKULIPIA SHILINGI 20000 KWA AJILI YA VIPIMO LAKINI KUMBUKA KUBEBA SHILINGI 5000 KWA AJILI YA KUMWONA DAKTARI,
OFA HII NI KWA VITUO VYOTE VYA LUPIMO SANITARIUM CLINIC ILA TU KITUO CHJA DAR ES SALAAM, TUFIKIE KATIKA VITUO VYETU KWA AJILI YA AFYA YAKO

MIKOA TUNAYOPATIKANA NI
VITUO VYETU TUNAVYOPATIKANA LUPIMO SANITARIUM CLINIC NI KAMA IFUATAYO. IRINGA TUPO KIHESA NJIA PANDA YA MTWIVILA, MBEYA TUPO SOWETO KARIBU NA UWANJA WA SHULE YA MSINGI MWENGE, DAR ES SALAAM TUPO SINZA MORI AU SINZA MAPAMBANO NYUMA YA UKUMBI WA LULU, DODOMA TUPO AREA C KARIBU NA MSIKITI WA AREA C, SINGIDA TUPO MANYONI NJIA PANDA YA KUELEKEA CHIKOLA NA HEKA, GEITA TUPO MITI MIREFU KARIBU NA BICK HOTEL, MWANZA TUPO NYEGEZI KITUO CHA KIJIWENI AU KALFONIA, 

kwa maelezo zaidi,maoni au ushauri wasiliana nasi kwa simu namba 0769368546,0719097574 na 0742120577 pia www.facebook.com/lupimoclinic,www.twitter.com/lupimoclinic na www.hulkshare.com/lupimoclinic.




VIBAO VYA MOJA YA KITUO CHA LUPIMO SANITARIUM CLINIC


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni