Ni vema tukatambua umuhimu wa mmea huu katika mwili wa mwanadanu. Mmea huu umesaidia wengi mimi nikiwa mmoja wapo, siku hizi siumwi malaria (tangu mwaka 2003). Ngozi yangu ni nzuri na nywele sasa zinakua vizuri maana nafanya steaming nikitumia mmea huu nachanganya na asa li, mdalasini na olive oil, napaka kwa ngozi ya kichwa na nywele zenyenye.
FAIDA YA MMEA HUU: INASAIDIA
1. Ngozi ya mwili inasaidia mzunguko wa damu kwenye ngozi
2. Ngozi ya kichwa
3. Nywele
4. Malaria
5. Vidonda vya tumbo
6. Kisukari
7. kinga ya mwili
8. Mapunye (mashilingi)
9. Mba wa ngozi ya mwili na kichwani
10. Kufunga choo
11. Pumu
12. Michubuko au infection sehemu za siri
13. Inaondoa sumu mwilini (kiosha mwili)
14. Mfumo wa umeng'enyaji chakula
15. Kuungua na moto
16. Mkanda wa jeshi
17. Kikohozi sugu
18. After shave - pakaa Gel baada ya kunyoa ndevu
19. Sun burn
20. Strect marks - mistari au michirizi ya uzazi
21. Inachelewesha kitendo cha ngozi kuzeeka haraka
22. Inaondoa mabaka kwenye ngozi
23. Inaondoa muwasho kwenye ngozi ya mwili na ya kichwa
24. Inaimarisha nywele hivyo inazuia kukatika kwa nywele
25. Inasaidia mfuko wa uzazi (uterus) kwa mtu mwenye shida hii
26. Inasaidia mwili kuchoma mafuta haraka
27. Inasaidia mtu aliyejikata
28. Inasaidia tumbo kuvuruga na matatizo mengine ya tumbo
Mmea huu unasaidia mambo mengi, ila utayarishwaji wake ni tofauti kulingana na tatizo.
Ukibahatika kuchanganya na asali inakupatia mambo mazuri
Kwa anayeweza kupanda mmea huu ni vema akafanya hivyo, hata kwenye ndoo waweza panda kama ua lipandwavyo
kwa maelezo zaidi,maoni au ushauri wasiliana nasi kwa simu
namba 0769368546,0719097574 na 0742120577 pia
www.facebook.com/lupimoclinic,www.twitter.com/lupimoclinic na
www.hulkshare.com/lupimoclinictanzania,www.lupimoclinic.blogspot.com,youtube.com/lupimoclinic,Instagram.com/lupimoclinic
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni