FAIDA LUKUKI ZA ULAJI WA KITOWEO CHA SAMAKI NI PAMOJA NA KUONGEZA MAISHA YA KUISHI KWA BINADAMU NA AKILI.
Faida za samaki mwilini ni nyingi zikiwemo hizi hapa chini:-
•Huyeyusha damu ma kuifanya iwe nyepesi
• Huilinda mishipa ya damu isiharibike
• Huzuia damu kuganda
• Hushusha shinikizo la damu
• Hupunguza hatari ya kupatwa na mshituko wa moyo na kiharusi
• Hutuoa ahueni kwa wenye ugonjwa wa kipandauso
• Husaidia kuzuia uvumbe mwilini
• Huendesha mfumo wa kinga ya mwili
• Huzuia saratani
• Hutoa ahueni kwa wenye pumu
• Hupambana na dalili za awali za ugonjwa wa figo
• Huongeza nishati ya ubongo
Zipo sehemu nyingi ambapo samaki hupikwa na kuuzwa, yaani migahawani, mahotelini n.k, pia sehemu mbalimbali zinazouza samaki katika bei tofauttofauti na mtindo tofauti, mfano magengeni, feri, sokoni ambapo utapata samaki wabichi au waliopikwa.
Baada ya kusoma na kuelewa umuhimu wa samaki ndani ya miiili yetu, tujitahidi mara kwa mara kupata mlo wa samaki
kwa maelezo zaidi,maoni au ushauri wasiliana nasi kwa simu
namba 0769368546,0719097574 na 0742120577 pia
www.facebook.com/lupimoclinic,www.twitter.com/lupimoclinic na
www.hulkshare.com/lupimoclinictanzania,www.lupimoclinic.blogspot.com,youtube.com/lupimoclinic,instagram.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni