Jumamosi, 16 Aprili 2016

HIVI NDIVYO NAMNA BILINGANYA INAVYOWEZA KUWA TIBA KWAKO



Leo ni vizuri nikupe faida hizi za kutumia bilinganya pengine unaweza kuanza kuwa mtumiaji wa mboga hii ambayo ipo katika jamii ya matunda.

Moja ya faida za bilinganya linapopikwa kama mboga kwanza husaidia kutibu tatizo la vidonda vya tumbo na linasaidia kumpatia mtumiaji usingizi endepo anatatizo la kukosa usingizi, hivyo wale wenye shida ya kupata usingizi wanashauriwa kula bilinganya kwa wingi.
Pia bilinganya husaidia sana kupona magonjwa na kuleta afya nzuri ya mwili, lakini endapo unasumbuliwa na majipu basi unaweza kuponda bilinganya na kisha kuweka kwenye jipu litatibu.
Hali kadhalika, juisi yake pia husaidia kuondoa sumu mwilini kwa kuitoa kwa njia ya haja ndogo (mkojo).
Mbali na hayo, mizizi ya bilinganya inapochemshwa hutumika kama dawa ya minyoo.
 
KARIBU LUPIMO SANITARIUM CLINIC, UPATE TIBA SAHIHI NA MAKINI KWA KUTUMIA DAWA ASILI ZITOKANAZO NA MIMEA NA MATUNDA NA HAZINA KEMIKALI NA NI SALAMA KWA MATUMIZI YA BINADAMU. 


kwa maelezo zaidi,maoni au ushauri wasiliana nasi kwa simu namba 0769368546,0719097574 na 0742120577 pia www.facebook.com/lupimoclinic,www.twitter.com/lupimoclinic na www.hulkshare.com/lupimoclinictanzania,www.lupimoclinic.blogspot.com,youtube.com/lupimoclinic

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni