DAMU YA HEDHI KUWA NA MABONGE
Kuna wakati
mwanamke anaweza kupata damu yenye mabonge, yaani iliyoganda na nyeusi.
Hali hii huashiria kiasi cha damu anachopoteza ni kingi zaidi ya
kawaida. Inaweza kuambatana na hedhi kuwa ndefu zaidi ya kawaida au damu
kutoka nyingi zaidi ya kawaida.
Hali zifuatazo zinaweza kusababisha hili;
- Sindano za kuzuia mimba
- Mimba kutoka
- Vitanzi vya kuzuia mimba (Intrauterine Contraceptive Devices)
- Endometrial hyperplasia
- Maambukizi ya Via vya uzazi vya ndani (Pelvic Inflammatory Disease – PID)
- Vivimbe kwenye ukuta wa mji wa uzazi (endometrial polyps)
- Mabonge kwenye mji wa mimba (uterine fibroids)
- Saratani ya ukuta wa mji wa uzazi, mji wa uzazi au shingo ya uzazi.

Matibabu
Unapopata
hali hii ni vizuri uonane na daktari haraka iwezekanavyo. Uchunguzi na
vipimo vikifanyika tatizo linaweza kujulikana na kutibika.
ZAIDI UNAWEZA KUTUFIKIA LUPIMO SANITARIUM CLINIC KWA USHAURI NA MATIBABU LAKINI PIA UNAWEZA KUNIPIGIA SIMU MIMI TABIBU JOHN LUPIMO KWA NAMBA 0759324414

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni