Jumanne, 18 Novemba 2014

SIKILIZA HAPA KIPINDI CHA MATATIZO YA UZAZI KWA WANAWAKE NA VIDONDA VYA TUMBO


Karibu katika mfululizo wa vipindi vya afya kutoka Lupimo Sanitarium Clinic ambapo leo tunaye Daktari mtaalamu kabisa Alfredy Lupia anatoa somo kuhusu magonjwa ya uzazi kwa wanawake
.Lakini baada ya hapo utamsikiliza Dokta Kaiza atazungumzia kwa ufupi kuhusu vidonda vya tumbo.

Kama una swali,maoni au ushauri wasiliana nasi kwa simu namba 0769368546,0719097574 na 0754301115
pia www.facebook.com/lupimoclinic,www.twitter.com/lupimoclinic na www.hulkshare.com/lupimoclinic

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni