Jumatatu, 23 Novemba 2015


FAHAMU UGONJWA WA SARATANI KWA WATOTO

 
Saratani au kansa zipo za aina nyingi lakini leo tutachambua ya  watoto ambayo kitaalamu inaitwa  Non Hodgkin’s Lymhona na  huwapata watoto wadogo wenye umri kati ya miaka mitatu na tisa.

Saratani hii hujitokeza kutoka kwenye mfumo wa damu inayohusika na kinga ya mwili yaani Lymphatic system kwa kitaalamu na mara nyingi hushambulia tezi zinazoshughulika na kinga ya mwili wa mtoto na huweza kusababisha kifo.

MAENEO YANAYOSHAMBULIWA
 

Maeneo ya mtoto mdogo ambayo hushambuliwa sana na saratani hii ni sehemu za tumboni, shingoni na kwenye paji la uso pamoja na mdomoni.

Mtoto aliye na ugonjwa huu huweza kutibiwa lakini ugonjwa wenyewe hugundulika mapema kutokana na kukua kwa urahisi na kuonekana ndani ya wiki mbili kutokana na mtoto kuwa na dalili ya uvimbe katika maeneo niliyoyataja hapo juu.

Uwezekano wa mtoto mwenye saratani hii kupona kwa nchi zilizoendelea upo kwa asilimia ndogo na sababu kubwa ni kwamba inatokana na tabia ya wazazi au walezi kuchelewa kuwapeleka watoto wao hospitali au zahanati pindi wanapoumwa.

Wazazi au walezi wengi hufikia uamuzi wa kuwapeleka watoto wao hospitali baada ya mgonjwa kuzidiwa kitendo ambacho ni kibaya sana.Mtoto huyo aliyezidiwa akifikishwa zahanati au hospitali akiwa taabani na kupewa dawa za tiba, humletea madhara kutokana na nguvu kubwa ya dawa kwa kuwa tayari atakuwa amepungukiwa na kinga katika  mwili wake kwa kuugua.

Mtoto anaweza kupatwa maradhi haya kwa kurithi kutoka katika familia aliyozaliwa kama vile wazazi, mjomba, babu au bibi, mama mdogo na kadhalika.Mtoto pia anaweza kupatwa na saratani hii kutokana na kuugua kila wakati ugonjwa wa malaria mara kwa mara ambapo huchangia kupungua kwa kinga mwilini, hivyo kumsababishia mtoto anapopatwa na ugonjwa huu.

Sababu nyingine ni mashambulio ya virusi vinavyoitwa kwa kitalaamu ‘Lymphic System’. Virusi hivyo hushambulia mfumo wa damu na kusababisha kinga ya mwili kupungua. Aidha mtoto ambaye ana maambukizi ya virusi vya UKIMWI anakuwa na matatizo na hushambulia mfumo wa kinga ya mwili wa mtoto hivyo kuweza kupatwa na ugonjwa  huu wa saratani kwa urahisi.

DALILI ZA UGONJWA:
 

Dalili anazokuwanazo mtoto mwenye saratani hii ni uvimbe usiokuwa na maumivu kwenye shingo, tumbo na chini ya kwapa, uvimbe huo huonekana kwa urahisi. Zipo dalili nyingine za maradhi haya kama vile kutokwa na vipele vyekundu kwenye ngozi ambapo kitaalamu huitwa red patches, kuhisi  kichefuchefu,(nausea) na kutapika (vomiting).

Dalili nyingine ni  kukohoa kwa muda mrefu, kupumua kwa shida, kutokwa na jasho sana wakati wa usiku, kuwashwa kwa ngozi, kupoteza uzito mkubwa kwa muda mfupi, homa, kuchoka sana na kupatwa  mara kwa mara maradhi ya  malaria.

TIBA YAKE:
 
ugonjwa huu wa saratani ya damu kwa watoto lupimo sanitarium clinic tunaitibu vizuri  kwani mtoto akija na maelezo kutoka kwa daktari hospitali kuwa amegundulika ana saratani ya damu tutampa dawa aina tofauti tofauti mfano dawa ya juice, dawa ya unga pamoja na kumpa mzazi ushauri jinsi ya lishe bora kwa mtoto wake

USHAURI
Kikubwa ni kujikinga na maambukizi ya malaria  na virusi ambavyo huchangia kuwepo kwa saratani hiyo. Jamii ipewe elimu kufahamu dalili za saratani hii ya watoto ili waonapo wawahi tiba hospitali au katika zahanati.



Kama mtoto wako anatatizo hilo tufikie lupimo sanitarium clinic kwa matatibabu zaidi, tunapatikana mikoa mbalimbali hapa nchini kama vile

VITUO VYETU TUNAVYOPATIKANA LUPIMO SANITARIUM CLINIC NI KAMA IFUATAYO. IRINGA TUPO KIHESA NJIA PANDA YA MTWIVILA, MBEYA TUPO SOWETO KARIBU NA UWANJA WA SHULE YA MSINGI MWENGE, DAR ES SALAAM TUPO SINZA MORI AU SINZA MAPAMBANO NYUMA YA UKUMBI WA LULU, DODOMA TUPO AREA C KARIBU NA MSIKITI WA AREA C, SINGIDA TUPO MANYONI NJIA PANDA YA KUELEKEA CHIKOLA NA HEKA, GEITA TUPO MITI MIREFU KARIBU NA BICK HOTEL, MWANZA TUPO NYEGEZI KITUO CHA KIJIWENI AU KALFONIA,

 kwa maelezo zaidi,maoni au ushauri wasiliana nasi kwa simu namba 0769368546,0719097574 na 0742120577 pia www.facebook.com/lupimoclinic,www.twitter.com/lupimoclinic na www.hulkshare.com/lupimoclinic.





Hakuna maoni:

Chapisha Maoni