hii ni hali ya maumivu makali wakati wa hedhi, inahusisha viungo vya uzazi na
mwili kwa ujumla ambapo kitaalamu inaitwa “ gynecological medical
condition”. Tatizo hili linapotokea mwanamke huathili shughuli zake za kila siku.
Kwa kawaida mwanamke anapoanza damu zake za hedhi hupata maumivu
kidogo na hili ni kutokana na hali ya kukamua au kuminya kizazi ili kutoa damu
iliyopo ndani.
Maumuvu haya huwa makali, au sio makali sana. Wakati mwingine hali hii
umbatana kichefu chefu, kuhisi moto tumboni au maumivu makali yanayokuja na
kupotea. Vile vile hali hii husababisha damu vyingi kutokana na kupoteza au
kutoka kidogokidogo kwa damu ndefu.
Maumivu ya wakati wa hedhi yamegawanyika katika makundi makuu
mawili, kwanza ni maumivu yaitwayo “primay dysmenorrhea” ni maumivu
yanayowapata wasichana na wadogo ambao hawajawahi kupata ujauzito au
kuzaa.
Aina nyingine ni secondary dysnorrhea, hii inasababishwa na magonjwa ya
mfumo wa uzazi, au endapo kuna kasoro au isiyokuwa ya kawaida ndani ya kazi
au kwa nje ya kizazi.
Chanzo cha tatizo
maumivu wakati wa hedhi husababishwa na hali iitwayo “ endometriosis” ambapo
lile tabaka la ndani ya kizazi huwa nje ya kizazi, vyanzo vingine ni uwepo wa
matabaka ya kizazi au uvimbe katika vifuko vya mayai na matatizo katika nyonga,
wengine wanaopata hali hii ni wale wanaotumia njia ya uzazi wa mpango ya
kitanzi.
Vyanzo hivi tulivyoeleza vinawapata wanawake watu wazima au
wanawake walio katika umri wa kuzaa. Pamoja na kwamba yale maumivu ya
primary dysmenorrhea huwapata zaidi wasichana wadogo, lakini pia sababu hizi
tulizoziona zinaweza kukusababishia kumtokea hata msichana ambaye hajawahi
kuzaa.
DALILI ZA MAUMIVU
MAUMIVU HAYA HUWA CHINI YA KITOVU KUANZIA USAWA WA KITOVU, PIA MAUMIVU
HUSAMBAA KUSHOTO AU KULIA NA KUELEKEA MAPAJANI HADI KIUNONI. MAUMIVU
HUAMBATANA NA KICHEFU CHEFU, KUTAPIKA NA WAKATI MWINGINE KUHARISHA NA
WENGINE KUFUNGA KUPATA HAJA KUBWA, MAUMIVU YA KICHWA NA KIZUNGUZUNGU,
MAUMIVU HUWA MAKALI NA WENGINE HUZIMIA.
MAUMIVU HUANZA TARATIBU MARA TU BAADA YA KUMALIZA KIPINDI CHA UPEVUSHAJI
MAYAI NA HUONGEZEKA KIPINDI CHA DAMU NA KUISHA PALE ANAPO MALIZA DAMU YA
HEDHI.
ATHARI ZA TATIZO
MAUMIVU WAKATI WA HEDHI HUMKWAMISHA MTU ASISHIRIKI KIKAMILIFU KATIKA SHUGHULI
ZAKE ZA KIMAENDELEO, MWANAFUNZI HUSHINDWA KUUDHURIA KIKAMILIFU MASOMO.
TATIZO PIA HUMUIN GIZIA GHARAMA MGONJWA NA FAMILIA KATIKA SUALA ZIMA LA
MATIBABU.
ATHARI YA TATIZO NI UGMBA. MWANAMKE MWENYE MAGONJWA KATIKA MFUMO WA UZAZI
AMBAYO YANASABABISHA MAUMIVU ANAWEZA KUTOPATA UJAUZITO NA HATA BAADAYE
KUFANYIWA UPASUAJI WA KUONDOA KIZAZI.
ANAWEZA KUPATA MAUMIVU WAKATI WA TENDO LA NDOA NA PIA MAUMIVU YA TUMBO
CHINI YA KITOVU YANAWEZA KUWA ENDELEVU, YAANI YAKAWA HAPO SIKU ZOTE KWA HIYO
KILA SIKU AKAWA ANALALAMIKA MAUMIVU YA TUMBO CHINI YA KITOVU ENDELEVU ATAPATA
MAAMBUKIZI BASI ATATOKWA NA UCHAFU AU MAJIMAJI UKENI AMBAKO HUTOA HARUFU AU
MUWASHO.
VITUO VYETU TUNAVYOPATIKANA LUPIMO SANITARIUM CLINIC NI KAMA
IFUATAYO. IRINGA TUPO KIHESA NJIA PANDA YA MTWIVILA, MBEYA TUPO SOWETO KARIBU
NA UWANJA WA SHULE YA MSINGI MWENGE, DAR ES SALAAM TUPO SINZA MORI AU SINZA
MAPAMBANO NYUMA YA UKUMBI WA LULU, DODOMA TUPO AREA C KARIBU NA MSIKITI WA AREA
C, SINGIDA TUPO MANYONI NJIA PANDA YA KUELEKEA CHIKOLA NA HEKA, GEITA TUPO MITI
MIREFU KARIBU NA BICK HOTEL, MWANZA TUPO NYEGEZI KITUO CHA KIJIWENI AU
KALFONIA,
kwa maelezo zaidi,maoni au ushauri wasiliana nasi kwa simu namba
0769368546,0719097574 na 0742120577 pia
www.facebook.com/lupimoclinic,www.twitter.com/lupimoclinic na
www.hulkshare.com/lupimoclinic.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni