Tambua kuhusu ugonjwa wa Ngiri (Hernia)
Ngiri au
Hernia ni aina ya ugonjwa ambao unampata mtu baada ya misuli au kuta za
tishu mwilini zinazoshikiria au kubeba viungo (organs) fulani mwilini
kupoteza uimara wake au kuwa na uwazi (Opening) na hivyo kusababisha
viungo hivyo kutoshikiriwa ipasavyo katika sehemu vinapostahili kuwepo.
Katika
mwili wa binadamu, maeneo ambayo tatizo hili hutokea mara kwa mara ni
maeneo ya tumboni, katika eneo la kinena, eneo la paja kwa juu na pia
ngiri inaweza kutokea katika eneo ambalo mtu alifanyiwa upasuaji
(operesheni).
Tatizo
la ngiri huweza kumpata mtu yeyote. Miongoni mwa vitu vinavyoweza
kumsababisha mtu apate ugonjwa wa ngiri ni: Kuwa na uzito mkubwa wa
mwili au kuongezeka uzito kwa ghafla, kazi ya kubeba au kunyanyua vitu
vizito, tatizo la kukohoa au kupiga chafya kwa muda mrefu, ujauzito au
matatizo yanayojitokeza kwa mwanamke wakati wa kujifungua pia kuharisha
au kuvimbiwa (Constipation). Vitu hivyo pamoja na mtu kuwa na misuli au
tishu zilizopoteza uimara au uwazi (opening or hole) humfanya mtu apate
ngiri (hernia).
Ngiri hutambuliwa kwa kutokea kitu kama
uvimbe au kujaa katika eneo husika (baadhi ya maeneo yametajwa hapo
juu) na pia kwa kufanyiwa uchunguzi wa mara kwa mara na daktari
huwezesha kugundua tatizo hili.
inawezekana unasumbuliwa na tatizo hili na umejaribu kutafuta matibabu imeshindikana, sasa suluhisho lako limepatikana, tufikie lupimo sanitarium clinic na sisi hatufanyi upasuaji bali tutakupa dawa ya kumaliza tatizo hilo kabisa na halitarudia tena katika mwili wako, lupimo sanitarium clinic ni clinic ambayo inatibu kwa kutumia mimea na matunda na tunapatikana mikoa mbalimbali hapa nchini tanzania.
VITUO VYETU NI KAMA IFUATAVYO:
IRINGA TUPO KIHESA NJIA PANDA YA MTWIVILA, MBEYA TUPO SOWETO KARIBU
NA UWANJA WA SHULE YA MSINGI MWENGE, DAR ES SALAAM TUPO SINZA MORI AU SINZA
MAPAMBANO NYUMA YA UKUMBI WA LULU, DODOMA TUPO AREA C KARIBU NA MSIKITI WA AREA
C, SINGIDA TUPO MANYONI NJIA PANDA YA KUELEKEA CHIKOLA NA HEKA, GEITA TUPO MITI
MIREFU KARIBU NA BICK HOTEL, MWANZA TUPO NYEGEZI KITUO CHA KIJIWENI AU
KALFONIA,
kwa maelezo zaidi,maoni au ushauri wasiliana nasi kwa simu namba
0769368546,0719097574 na 0742120577 pia
www.facebook.com/lupimoclinic,www.twitter.com/lupimoclinic na
www.hulkshare.com/lupimoclinic.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni