Jumatano, 18 Novemba 2015


HII NI STAFF YA WAFANYAKAZI WA LUPIMO SANITARIUM CLINIC KATIKA KITUO KILICHOPO MKOANI IRINGA NJIAPANDA YA MTWIVILA

DR ANNA MOTO AKIWAHUDUMIA WAGONJWA



WAFANYAKAZI WA LUPIMO CLINIC

DR VIDA NJAU AKIWAHUDUMIA WAGONJWA,    

             







Inawezekana unasumbuliwa na maradhi mbalimbali na umezunguka hospitali nyingi bila mafanikio, ufumbuzi wa tatizo lako umepatikana tufikie lupimo sanitarium clinic tutakutibu usisumbuke kwenda kutafuta tiba nje ya nchi kwani lupimo sanitarium clinic tunatibu magonjwa sugu ambayo yameshindikana karibu sana katika vituo vyetu vilivyopo katika mikoa mbalimbali hapa nchini.

VITUO VYETU LUPIMO SANITARIUM NI HIVI HAPA CHINI:

IRINGA TUPO KIHESA NJIA PANDA YA MTWIVILA, MBEYA TUPO SOWETO KARIBU NA UWANJA WA SHULE YA MSINGI MWENGE, DAR ES SALAAM TUPO SINZA MORI AU SINZA MAPAMBANO NYUMA YA UKUMBI WA LULU, DODOMA TUPO AREA C KARIBU NA MSIKITI WA AREA C, SINGIDA TUPO MANYONI NJIA PANDA YA KUELEKEA CHIKOLA NA HEKA, GEITA TUPO MITI MIREFU KARIBU NA BICK HOTEL, MWANZA TUPO NYEGEZI KITUO CHA KIJIWENI AU KALFONIA, 

kwa maelezo zaidi,maoni au ushauri wasiliana nasi kwa simu namba 0769368546,0719097574 na 0742120577 pia www.facebook.com/lupimoclinic,www.twitter.com/lupimoclinic na www.hulkshare.com/lupimoclinic.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni