Kwanini mtu anaetokwa na damu puani halazwi chali?
Msomaji wetu wa blog hii ya lupimo sanitarium clinic kwa mara
nyengine basi kama ilivyo desturi yetu kukumbushana mambo
muhimu basi leo tunawakumbusha jinsi gaani mtu anayetokwa damu puani
kuwa huruhusiwi kumlaza chali yaani kuangalia juu. hapa basi tumsikilize doctor john lupimo kutoka lupimo sanitarium clinic anatuelekeza
faida kubwa sana kuhusu hili kwasababu jamii iliyotuzunguka tulikuwa
tukifahamu kuwa mtu akitokwa na damu puani ili damu ziweze kukata
zisitoke basi eti tulikuwa tukisema mlaze chali eti ndio damu
zinakata...haaaaaaa kumbe hii ni hatari kubwa sana tena sana na inaweza
kukupelekea hata kifo,sasa hebu tuungane nae Dokata lupimo
akitufahamisha kwanini basi watu wanatokwa na damu puani.
Dokta tungependa kufahamu ni kwanini basi watu wanatokwa na damu puani?
Dokta:Kutokwa na damu
puani ni matatizo ya kawaida ambayo inawatokea watu na si kitu
kigeni,hii ni inatokana na vishipa vidogo vidogo vilivyopo ndani ya pua
kupasuka na vikipasuka basi damu hua inatoka puani.
Dokta kuna hili tatizo la mtu akitokwa na damu puani tuna mlaza chini je tupo sawa kufanya hivi?
Dokta:Hakika kuna madhara
ya mtu akitokwa na damu puani ambapo tumezoea sana katika jamii
yetu,kwani haitakiwi kumlaza mtu chali kwasababu damu inayotoka katika
vishipa vidogo vya damu inatakiwa itoke nje sasa unapomlaza chali ina
maana unaizuia damu hiyo inayotaka kutoka nje isitoke na iende ndani
ambapo kule ndani inapokwenda haitoingia katika vile vishipa vya damu
inapotoka kwani itakwenda sehemu nyingine ya mwili na ikifika kule
itaganda kwa sababu haina virutubisho na ikiganda itaoza na ikioza
itasababisha kutokea kwa bakteria ambapo utapata madhara au magonjwa
ili tusipate madhara basi tuiache damu itoke nje.
lakini kama unatatizo hili basi tufikie lupimo sanitarium clinic katika mikoa mbalimbali hapa nchini.
Shukrani sana Doktari john lupimo,
ila wakati mwingine docta ataweza kuzungumzia tatizo hili kwa undani kuhusu mtu
kutokwa na damu puani ama masikioni pamoja na visababishi vyake.
VITUO VYETU
TUNAVYOPATIKANA LUPIMO SANITARIUM CLINIC NI KAMA IFUATAYO. IRINGA TUPO KIHESA
NJIA PANDA YA MTWIVILA, MBEYA TUPO SOWETO KARIBU NA UWANJA WA SHULE YA MSINGI
MWENGE, DAR ES SALAAM TUPO SINZA MORI AU SINZA MAPAMBANO NYUMA YA UKUMBI WA
LULU, DODOMA TUPO AREA C KARIBU NA MSIKITI WA AREA C, SINGIDA TUPO MANYONI NJIA
PANDA YA KUELEKEA CHIKOLA NA HEKA, GEITA TUPO MITI MIREFU KARIBU NA BICK HOTEL,
MWANZA TUPO NYEGEZI KITUO CHA KIJIWENI AU KALFONIA,
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni