Calcium:
Mtoto anahitaji Calcium kwa ajili ya kukuza viungo vya mwili na mifupa kukomaa vizuri. Mwili wako unanyonya Calcium inayohitajika na mtoto hivyo basi unahitaji kula vyakula vitakavyoongeza kiasi hichi mwilini. Lakini pia ili Calcium inyonywe na mwili unahitaji kukaa juani kwa kipindi kama cha dakika kumi kila siku. Calcium hupatikana kwenye, maziwa, mboga za majani kwa wingi, Mayai (Hakikisha yameiva vizuri )Samaki (esp mifupa lakini sio samaki wote wanashauliwa kula wakati wa mimba), maharage ya soya, na mchele.
Madini ya Chuma (Iron)
Chuma ni muhimu kwa utengenezaji wa damu, kwani kipindi hichi damu nyingi inahitajika kwa ajili ya kumpelekea mtoto chakula. Wajawazito wengi huwa vichanga vyao vinakufa sababu ya ukosefu wa damu toka kwa mama. Iron hupatikana toka kwa vyakula kama; Mboga za majani kwa wingi zaidi (Matembele yana Iron zaidi, mchicha, brocolli, sukuma wiki n.k). Chai na Kahawa huwa inasaidia kuzuia kunyonywa ka iron mwilini hivyo epuka kunya chai nyingi na ikiwezekana uache kunywa kahawa kwa kipindi hiki.
kwa ushauri zaidi unaweza kutufikia lupimo sanitarium clinic katika mikoa mbalimbali tunayopatikana
VITUO VYETU
TUNAVYOPATIKANA LUPIMO SANITARIUM CLINIC NI KAMA IFUATAYO. IRINGA TUPO KIHESA
NJIA PANDA YA MTWIVILA, MBEYA TUPO SOWETO KARIBU NA UWANJA WA SHULE YA MSINGI
MWENGE, DAR ES SALAAM TUPO SINZA MORI AU SINZA MAPAMBANO NYUMA YA UKUMBI WA
LULU, DODOMA TUPO AREA C KARIBU NA MSIKITI WA AREA C, SINGIDA TUPO MANYONI NJIA
PANDA YA KUELEKEA CHIKOLA NA HEKA, GEITA TUPO MITI MIREFU KARIBU NA BICK HOTEL,
MWANZA TUPO NYEGEZI KITUO CHA KIJIWENI AU KALFONIA,
kwa maelezo
zaidi,maoni au ushauri wasiliana nasi kwa simu namba 0769368546,0719097574 na
0742120577 pia www.facebook.com/lupimoclinic,www.twitter.com/lupimoclinic na
www.hulkshare.com/lupimoclinic.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni