Jumapili, 14 Februari 2016

usikose kutazama TBC1 katika kipindi cha cherekochereko kuanzia saa moja kamili jioni hadi saa mbili kamili usiku kila siku ya jumapili, hapo lupimo sanitarium clinic tutakuwepo kama wadhamini wa kipindi hicho, na hapo utafahamu vizuri jinsi tunavyotoa huduma zetu magonjwa tunayotibu, na vituo tunavyopatikana hapa nchini tanzania, kwa msaada zaidi wasiliana nasi kwa namba 0742120577 au 0672666601 karibu sana


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni