Jumatatu, 25 Januari 2016

FAHAMU KUHUSU TEZI DUME NA DALILI ZAKE ZA AWALI KABISA

  Mwaka 2015 ni mwaka ambao tunaweza kusema kwamba tatizo la saratani ya tezi dume ni moja ya matatizo ambayo pengine yalitajwa sana na kupatiwa ufafanuzi wa kina kupitia vyombo mbalimbali vya habari na mitandao ya kijamii.

Lakini ukweli ni kwamba saratani ni moja ya magonjwa yasiyoambukiza na hutokea pale ambapo seli za tezi dume (prostate gland) husambaa sehemu nyingine za mwili.

Mbaya zaidi tatizo hili la saratani huweza kumpata mtu bila kuonesha dalili za moja kwa moja kwa muda mrefu sana hadi pale inapokuwa imeenea sana.

Pale dalili zinapoanza kuonekana basi matatizo mengine nayo hutokea ikiwa ni pamoja na uvimbe wa tezi dume.

Dalili za mwanzo za mwanzo ni pamoja na mhusika kukojoa mara kwa mara hasa wakati wa usiku, mkojo kutoka kidogo au kushindwa kutoka kabisa, kupata maumivu wakati wa kutoa manii, kukojoa mkojo wenye damu pamoja na kushindwa kuzuia mkojo, hasa unapocheka.

Pamoja na dalili hizo hapo juu mtu anaweza pia kuhisi maumivu makali ya kiuno, mbavu, na kwenye mapaja, kukosa hamu ya kula, kupungua uzito, hali ya kuchoka na wakati mwingine kutapika, miguu kuvimba na wakati mwingine miguu huweza kukosa nguvu.


kwa leo tuishie hapo ila kwa msaada na matibabu unaweza kutufikia lupimo sanitarium clinic katika mikoa tunayopatikana tatizo hilo la tezi dume tunalitibu vizuri wapo wengi tuliowatibu na wakapona , tufikie lupimo katika vituo hivi hapa chini.

 VITUO VYETU TUNAVYOPATIKANA LUPIMO SANITARIUM CLINIC NI KAMA IFUATAYO. IRINGA TUPO KIHESA NJIA PANDA YA MTWIVILA, MBEYA TUPO SOWETO KARIBU NA UWANJA WA SHULE YA MSINGI MWENGE, DAR ES SALAAM TUPO SINZA MORI AU SINZA MAPAMBANO NYUMA YA UKUMBI WA LULU, DODOMA TUPO AREA C KARIBU NA MSIKITI WA AREA C, SINGIDA TUPO MANYONI NJIA PANDA YA KUELEKEA CHIKOLA NA HEKA, GEITA TUPO MITI MIREFU KARIBU NA BICK HOTEL, MWANZA TUPO NYEGEZI KITUO CHA KIJIWENI AU KALFONIA,


kwa maelezo zaidi,maoni au ushauri wasiliana nasi kwa simu namba 0769368546,0719097574 na 0742120577 pia www.facebook.com/lupimoclinic,www.twitter.com/lupimoclinic na www.hulkshare.com/lupimoclinic.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni