Kiafya binadamu utunatakiwa kunywa glasi 7-8 kwa siku ni muhimu
kwa afya zetu.Watu wengi hawaju kama kunywa maji asubuhi pale uamkapo ni
kinga moja kubwa mwilini..Tiba hii huwa inaitwa Ayurvedic treatment inafaida nyingi ya kukuepusha na maradhi.
sehemu kubwa ya mwili wa mwanadamu ni maji kwa asilimia 70% ambayo
ndio inasaidia mwili Wake ufanye kazi kihasaha,wakati cell ya ubongo wa
binadamu una maji kwa asilimia 85%,damu inakiasi cha maji kwa asilimia
82%,muscles inatumia maji asilimia 75% wakati mifupa inamaji asilimia
25%.Mpaka hapo inaonyesha maji ni muhimu sana kwa mwili wa binadamu .
Umuhimu wa kunywa maji asubuhi kabla ujaingiza chochote tumboni.
Unatakiwa kunywa maji pale uamkapo ukiwa ujakula
chochote,itakusaidia kusafisha mfumo wako wa mmeng’enyo (internal
system) kwa urahisi. Itatoa uchafu na sumu kwenye Colon ulizozila
kupitia vyakula tofauti tofauti .Faida nyinginezo ni
-
Kung'arisha ngozi.
-
Renew cells.
-
Kusafishwa kwa colon na kufanya unyonywaji wa virutubisho kuwa rahisi.
-
Inatibu magongwa na maradhi .Unywaji wa maji asubuhi pale uamkapo
inakusaidia kutibu maradhi kama matatizo ya
ini,TB,kuhara,cancer,matatizo ya macho,maumivu ya kichwa,stress,uti wa
mgongo.
-
Hupunguza uzito.
Kunywa maji pale uamkapo liters 1.5 ( glas 5-6),epuka kunywa
kinywaji kingine chochote au kula kabla na baaya ya kunywa maji ,usinywe
pombe baada ya siku 2 ndio unedele na kunywa maji yako kila asubuhi
.Mwanzo itakuwa ngumu sana kunywa glas 6 kwa pamoja unachotakiwa kunywa 4
pumzika kidogo kunywa izo 2 zilizobakia.Utafanya hivyo baada ya siku 3
utombo utaozoea na utakunywa kwa urahisi.
Hii water therapy ilizinduliwa na wajapan baadaya kuifanyia utafiti
wa mda mrefu na kubaini inatibu maradhi mengi iwapo mgonjwa atafatisha
sheria zake kama
-
Uamkapo kunywa maji moja kwa moja bila kupiga mswaki au kula chochote.
-
Piga mswaki na usile chochote sababu yale maji yanahitaji kutoa uchafu kabla ujaweka chakula au kinywa tumboni.
-
Bada ya dakika 45 unaweza kunywa breakfast.
-
Baada ya breakfast usile kitu chochote baada ya masaa 2.
Kipimo cha maji kulingana na maradhi.
-
Constipation-wenye matatizo ya kutopa haja kubwa watafata hii kinga ya maji kwa siku 10
-
TB-siku 90
-
Kisukari siku 30
-
Gastric -kuwa na gesi nyingi tumboni -siku 10
-
Pressure (high blood pressure) siku 30.
Unatakiwa kunywa maji kwa wingi haswa wale wanaoishi sehemu za joto
.Epuka kuwa dehydrated kwani utakaribisha maradhi kwa urahisi.
kwa maelezo zaidi,maoni au ushauri wasiliana
nasi kwa simu namba 0769368546,0719097574 na 0742120577 pia
www.facebook.com/lupimoclinic,www.twitter.com/lupimoclinic na
www.hulkshare.com/lupimoclinictanzania.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni