KAMWE USIPUUZE MAUMIVU YA KIFUA HUWEZA KUWA NI KIASHIRIA CHA MATATIZO MENGINE
Kuhisi maumivu ya sehemu ya kifua ni moja ya tatizo ambalo halipaswi kuchukuliwa mzaha hata kidogo na pindi hali hiyo inapotokea ni vyema kutafuta ufumbuzi wa shida hiyo.
Miongoni mwa sababu ambazo huweza kusababisha mhusika kuhisi maumivu sehemu ya kifuani ni pamoja na uvutaji wa sigara, kisukari, uwingi wa mafuta hatari kwenye mishipa ya damu ' cholesterol' shinikizo la juu la damu au huweza kuchangiwa na historia ya magonjwa ya moyo kwenye familia.
Ili kutibu tatizo hili huhitaji kuonana na wataalam kwa ajili ya uchunguzi zaidi, lakini pia kuna njia hii ambayo unaweza kujaribu kabla ya kuamua kuoanana na daktari wako.
Maumivu ya kifua huweza kutulizwa kwa kutumia tangawizi, hii ni kwa sababu tangawizi huwa na uwezo mzuri wa kuondosha au kupunguza mafuta hatari yaani cholesterol lakini pia husaidia mishipa ya damu kutoharibiwa na cholesterol.
Sasa unachopaswa kufanya ili kutumia tangawizi kama tiba ya tatizo hili andaa kiasi cha kikombe kimoja cha tangawizi kunywa, Ni nzuri upate tangawizi ambayo haina majani ya chai.
kwa maelezo zaidi,maoni au ushauri wasiliana nasi kwa simu
namba 0769368546,0719097574 na 0742120577 pia
www.facebook.com/lupimoclinic,www.twitter.com/lupimoclinic na
www.hulkshare.com/lupimoclinictanzania,www.lupimoclinic.blogspot.com,youtube.com/lupimoclinic
.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni