Ufahamu ugonjwa wa baridi yabisi na tabibu john lupimo
Mpenzi msomaji wa blog yetu ya www.lupimoclinic.blogspot.com, hii ni makala ya kwanza
katika mfululizo wa elimu ya afya juu ya kujikinga na kujitibu maradhi ya
baridi yabisi (arthritis).
Baridi yabisi ni mkusanyiko wa maradhi yanayotesa
watu wengi katika siku za hivi karibuni za maisha ya kisasa. Maradhi haya ni
makali kiasi kwamba humtesa mtu na kumfanya kuwa mlemavu na hata kupelekea kifo
wakati mwingine. Nini husababisha maradhi haya?
Ni uwepo wa sumu nyingi za
tindikali mbaya katika mwili (uric acid) na wakati mwingine ni maambukizo ya
bakteria, virusi, na matatizo ya kinasaba. Uric acid ni sumu gani?
Ni tindikali
mbaya inayotengenezwa mwilini kutokana na maozea (putrid mass) ya vyakula vya
nyama, mafuta ya wanyama, seli hai za mwili zilizokufa mwilini pamoja na
vyakula na vinywaji vingine vingi visivyo vya asili (vyakula mtumba na vya
anasa).
Inatokeaje viungo kuuma na kuvimba?Kadri ‘uric acid’ zinapotawala mwili
ndivyo damu hudhoofishwa nguvu yake ya kiutendaji na misuli hushambuliwa na
vipenyo vyake huziba.
Hivyo ‘uric acid’ huwasha na kukereketa katika minofu
sehemu ambako damu haifiki kwa kiwango kinachotakiwa.
Hali ya kuvimba huwa ni
matokeo ya juhudi za mwili kujihami na kujinusuru na ‘uric acid.’ Uric Acid
huvamia viungo gani? Kadri tindikali mbaya (uric acid) inavyotapakaa mwilini
ndivyo mwili hujitahidi kuiondoa kwenye mkondo wa damu na hivyo kuitupa kwenye
minofu au kwenye ngozi, hapo ndipo figo, ini, moyo, tezi dume, kongosho na
ubongo ambapo misuli midogo ya damu katika viungo hivyo hushambuliwa na kuziba,
ndipo viungo hivyo na vingine vingi hudhoofika na kuteteleka kiutendaji huku
vikileta dalili za kuugua.
Orodha ya vyakula vinavyotengeneza ‘uric
acid’?Orodha hii ndiyo huchangia kutengeneza ‘uric acid’ nyama za aina zote,
mafuta ya wanyama , mafuta yenye lehemu (cholesterol) yaliyotengenezwa
kiwandani, tumbaku, pombe za aina zote, bangi na mihadarati, kahawa, vidonge
vya kemikali, vyakula vya rojorojo vya kianasa, maziwa, soda, kola na mikate
mitamu iliyotengenezwa kwa hamira za kiwandani.
Naweza kutibiwa na kupona
maradhi ya baridi yabisi?Kuwahi ugonjwa ni kupona, lakini kukawia kutibiwa ni
kujileteleza ulemavu na pengine kifo kabisa. Hivyo ni vizuri ukawahi kupata
matibabu mapema mara unapohisi dalili za ugonjwa huu. Dawa gani zinatibu
maradhi ya baridi yabisi?
Dawa za kizungu (vidonge) na dawa za mitishamba (za
asili) zote zinatibu kikamilifu endapo tu hazitachanganywa na kemikali mbaya,
kwani kemikali mbaya inapoingia mwilini hugeuka kuwa tindikali nyingine mbaya mno
ambayo huunga mkono ‘uric acid’ na vyote kwa pamoja kuuangamiza mwili taratibu
pasipo utetezi.
Mgonjwa wa maradhi haya ale chakula kipi ? Maji ni muhimu sana,
hivyo mgonjwa anywe kila siku lita 2 hadi 4 za maji safi na salama. Pia ajikite
kula vyakula vya asili zaidi ambavyo ni pamoja na mboga za majani na matunda ya
aina mbalimbali hasa yale yasiyo na sukari (citrus,) maharage ya soya pamoja
nakufanya mazoezi ya viungo ya kutosha. Ikiwa umeathirika tayari ni vizuri
ukaenda hospitali au wasiliana nami kwa kupata tiba njema na kwa muda mfupi au
kwa kupata nasaha.
kwa maelezo zaidi,maoni au ushauri wasiliana nasi kwa simu
namba 0769368546,0719097574 na 0742120577 pia
www.facebook.com/lupimoclinic,www.twitter.com/lupimoclinic na
www.hulkshare.com/lupimoclinictanzania,www.lupimoclinic.blogspot.com,youtube.com/lupimoclinic.
Ufahamu ugonjwa wa
baridi yabisi
Dk. Geoffrey C. Lusanzu
Mpenzi msomaji wa blog ya TABIBU, hii ni makala ya kwanza katika
mfululizo wa elimu ya afya juu ya kujikinga na kujitibu maradhi ya
baridi yabisi (arthritis).
Baridi yabisi ni mkusanyiko wa maradhi yanayotesa watu wengi katika siku
za hivi karibuni za maisha ya kisasa. Maradhi haya ni makali kiasi
kwamba humtesa mtu na kumfanya kuwa mlemavu na hata kupelekea kifo
wakati mwingine.
Nini husababisha maradhi haya?
Ni uwepo wa sumu nyingi za tindikali mbaya katika mwili (uric acid) na
wakati mwingine ni maambukizo ya bakteria, virusi, na matatizo ya
kinasaba.
Uric acid ni sumu gani?
Ni tindikali mbaya inayotengenezwa mwilini kutokana na maozea (putrid
mass) ya vyakula vya nyama, mafuta ya wanyama, seli hai za mwili
zilizokufa mwilini pamoja na vyakula na vinywaji vingine vingi visivyo
vya asili (vyakula mtumba na vya anasa).
Inatokeaje viungo kuuma na kuvimba?Kadri ‘uric acid’ zinapotawala mwili
ndivyo damu hudhoofishwa nguvu yake ya kiutendaji na misuli hushambuliwa
na vipenyo vyake huziba. Hivyo ‘uric acid’ huwasha na kukereketa katika
minofu sehemu ambako damu haifiki kwa kiwango kinachotakiwa. Hali ya
kuvimba huwa ni matokeo ya juhudi za mwili kujihami na kujinusuru na
‘uric acid.’
Uric Acid huvamia viungo gani?
Kadri tindikali mbaya (uric acid) inavyotapakaa mwilini ndivyo mwili
hujitahidi kuiondoa kwenye mkondo wa damu na hivyo kuitupa kwenye minofu
au kwenye ngozi, hapo ndipo figo, ini, moyo, tezi dume, kongosho na
ubongo ambapo misuli midogo ya damu katika viungo hivyo hushambuliwa na
kuziba, ndipo viungo hivyo na vingine vingi hudhoofika na kuteteleka
kiutendaji huku vikileta dalili za kuugua.
Orodha ya vyakula vinavyotengeneza ‘uric acid’?Orodha hii ndiyo
huchangia kutengeneza ‘uric acid’ nyama za aina zote, mafuta ya wanyama ,
mafuta yenye lehemu (cholesterol) yaliyotengenezwa kiwandani, tumbaku,
pombe za aina zote, bangi na mihadarati, kahawa, vidonge vya kemikali,
vyakula vya rojorojo vya kianasa, maziwa, soda, kola na mikate mitamu
iliyotengenezwa kwa hamira za kiwandani.
Naweza kutibiwa na kupona maradhi ya baridi yabisi?Kuwahi ugonjwa ni
kupona, lakini kukawia kutibiwa ni kujileteleza ulemavu na pengine kifo
kabisa. Hivyo ni vizuri ukawahi kupata matibabu mapema mara unapohisi
dalili za ugonjwa huu.
Dawa gani zinatibu maradhi ya baridi yabisi?Dawa za kizungu (vidonge) na
dawa za mitishamba (za asili) zote zinatibu kikamilifu endapo tu
hazitachanganywa na kemikali mbaya, kwani kemikali mbaya inapoingia
mwilini hugeuka kuwa tindikali nyingine mbaya mno ambayo huunga mkono
‘uric acid’ na vyote kwa pamoja kuuangamiza mwili taratibu pasipo
utetezi.
Mgonjwa wa maradhi haya ale chakula kipi ?
Maji ni muhimu sana, hivyo mgonjwa anywe kila siku lita 2 hadi 4 za maji
safi na salama. Pia ajikite kula vyakula vya asili zaidi ambavyo ni
pamoja na mboga za majani na matunda ya aina mbalimbali hasa yale yasiyo
na sukari (citrus,) maharage ya soya pamoja nakufanya mazoezi ya viungo
ya kutosha.
Ikiwa umeathirika tayari ni vizuri ukaenda hospitali au wasiliana nami
kwa kupata tiba njema na kwa muda mfupi au kwa kupata nasaha.Usikose
muendelezo wa makala haya sehemu ya pili!
Make Money Online : http://ow.ly/KNICZ

Makala haya yameletwa kwenu na Geoffrey C. Lusanzu, ambaye ni daktari na
Mkurugenzi wa kliniki ya Tiba Mbadala TANAMEREC, Kibanga, Kasulu,
Kigoma. Au wasiliana nao kupitia Email: selemtiba@gmail.com. Au simu
namba 0759 022 054 / 0714 284 804.
Make Money Online : http://ow.ly/KNICZ
Make Money Online : http://ow.ly/KNICZ
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni