ZAMBARAU NAUWEZO WAKE DHIDI YA UGONJWA WA KISUKARI
Habari za leo msomaji wetu wa www.lupimoclinic.blogspot.com napenda kuchukua nafasi hii kukukaribisha katika muendelezo wetu wa kufahamishana namna mimea na matunda yanavyoweza kuwa msaada mzuri katika afya zetu.
Leo napenda kuzungumzia namna zambarau inavyoweza kuwa msaada kwa mtu mwenye ugonjwa wa sukari.
Lakini kwanza ni vyema ifahamike kuwa kisukari ni ugonjwa unaotokana na matatizo ya mfumo wa uyeyushwaji wa chakula ndani ya mwili. Ukosefu au upungufu wa kemikali inayoitwa insulin husababisha ongezeko la kisukari inayojionesha kwa kiwango kikubwa katika mkojo wa mwathirika.
Matumizi ya zambarau huweza kumpa ahueni mgonjwa wa kisukari, ambapo kinachopaswa kufanyika ni kukausha mbegu za zambarau, kisha saga ili kupata unga laini.
Baada ya kufanya hivyo tumia nusu kijiko cha chai cha unga huo wa zambarau katika nusu glasi ya maji kila siku asubuhi kabla ya kula chakula chochote.
Asante sana kwa kuendelea kuwa karibu nasi, kama unatatizo lolote la kiafya unaweza kutufikia katika vituo vyetu vilivyopo mikoani, na tatizo hili la kisukari tunalitibu vizuri na mtu kurudi katika hali yake ya kawaida.

kwa maelezo zaidi,maoni au ushauri wasiliana nasi kwa simu
namba 0769368546,0719097574 na 0742120577 pia
www.facebook.com/lupimoclinic,www.twitter.com/lupimoclinic na
www.hulkshare.com/lupimoclinictanzania,www.lupimoclinic.blogspot.com,youtube.com/lupimoclinic.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni