Alhamisi, 15 Septemba 2016

FAHAMU UMUHIMU WA STAFELI (MTOPETOPE) KATIKA TIBA 

 

 kama unaswali lolote juu ya makala hii nipigie simu sasa hivi kwa namba 0759324414 karibu tujifunze


Stafeli ni tunda ambalo hupatikana katika mikoa ya Tanga, Iringa, Mbeya, Morogoro na baadhi ya maeneo katika jiji la Dar es Salaam.

Tunda hili linaelezwa kuwa na uwezo wa kutibu magonjwa mbalimbali ikiwamo saratani.

Kwa mujibu wa Jarida la Kemia na madawa la nchini Marekani la mwaka 2010 linaeleza kuwa tunda hili la Stafeli au Mtopetope kuwa lina uwezo wa kuangamiza chembe hai zenye saratani pasipo kuleta madhara katika mwili.

Taasisi ya utafiti wa Saratani ya Nchini Uingereza (NIR) ilifanya utafiti wa kwanza kuhusu maajabu ya stafeli mwaka 1976 na kubaini kuwa majani, mizizi na tunda la stafeli, vyote vina uwezo wa kutibu saratani aina zote.

Hayo ni machache kuhusu stafeli, lakini kama ungependa kuyafahamu mengine zaidi kuhusu tunda hili basi nipigie simu sasa hivi mimi tabibu john lupimo  kwa namba 0759324414 nikuelekeze zaidi namna tunda hilo linavyoweza kutibu magonjwa mbalimbali.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni