Jumapili, 11 Desemba 2016

   Dalili za Ugonjwa wa Vidonda vya Tumbo


Hapo kabla tulisoma kwa kirefu kuhusu vidonda vya tumbo, kisha tukasoma kuhusu dawa mbadala ya vidonda vya tumbo, tukasoma tena kuhusu chakula cha mgonjwa wa vidonda vya tumbo, na leo tunaendelea kuangalia dalili za ugonjwa wa vidonda vya tumbo.

Dalili zitakazokufanya ujihisi una vidonda vya tumbo ni pamoja na;



  1. Kuchoka choka sana bila sababu maalum
  2. Kuuma mgongo au kiuno
  3. Kupungukiwa au kupoteza kabisa nguvu za kijinsia
  4. Kizunguzungu
  5. Kukosa usingizi
  6. Maumivu makali sehemu ya mwili
  7. Kifua kwa ndani kana kwamba unachomwa na kitu cha moto au chenye ncha kali. Maumivu hayo wakati mwingine hutokeza mgongoni na huchoma kama sindano yenye sumu na kuacha maumivu makali
  8. Kichefuchefu
  9. Kiungulia
  10. Tumbo kujaa gesi
  11. Tumbo kuwaka moto
  12. Maumivu makali sehemu kilipo kidonda
  13. Kukosa choo au kupata choo kwa shida tena kikiwa kigumu na chenye kukatika kama cha mbuzi
  14. Kutapika nyongo
  15. Kutapika damu au kuharisha
  16. Sehemu za mwili kupata ganzi
  17. Kukosa hamu ya kula
  18. Kusahahu sahau na
  19. Hasira bila sababu.
Kwa kweli ni vigumu kueleza maumivu yote apatayo mgonjwa wa vidonda vya tumbo hasa kwa mwenye vidonda sugu kwani hakuna hata kiungo kimoja mwilini atakachokuambia ni kizima.

Ni muhimu sasa kutufikia lupimo sanitarium clinic kwa kukupata matibabu ya tatizo hilo zaidi unaweza kuwasiliana nami kwa namba 0759324414, 0719097574 au 0769368546





Ni muhimu sasa kutufikia lupimo sanitarium clinic kwa kukupata matibabu ya tatizo hilo zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa namba 0759324414, 0719097574 au 0769368546

Today Deal $50 Off : https://goo.gl/efW8Ef


Ni muhimu sasa kutufikia lupimo sanitarium clinic kwa kukupata matibabu ya tatizo hilo zaidi unaweza kuwasiliana nasi kwa namba 0759324414, 0719097574 au 0769368546

Today Deal $50 Off : https://goo.gl/efW8Ef

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni