Alhamisi, 20 Novemba 2014

SIKILIZA HAPA KIPINDI CHA LEO KINACHOHUSU HOMA YA MATUMBO NA INI


Karibu tena katika mfululizo wa vipindi maalum kutoka 

Lupimo sanitarium clinic.Leo Dokta Alfredy anazungumzia 

matatizo mbali mbali ya mfumo wa moyo.Karibu uweze 

kusikiliza kipindi hiki na uweze kutoa maoni yako na 

tutayafanyia kazi.

wasiliana nasi kwa simu namba 0769368546,0719097574 na 0754301115
pia www.facebook.com/lupimoclinic,www.twitter.com/lupimoclinic na www.hulkshare.com/lupimoclinic

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni