Arthritis ni nini?
Ni ugonjwa unaofanya viungo vyako kukauka na kuwa vigumu
kuvisongesha kwani ukifanya hivyo, utasikia uchungu. Hali iliyo kawaida
na kujitokeza sana sana ile inavamia viungo (Osteoarthritis) na ile
inaathiri mwili mzima na kuufanya uvimbe ama kuleta mwasho viungoni.
Mara nyingi, ugonjwa huu huwa haujitokezi bayana hadi pale ambapo mtu
hufikia miaka arobaini au zaidi.
Ni nini dalili za ugonjwa huu? (Osteoarthritis)
Maumivu ya viungo baada ya mtu kufanya mazoezi ama shughuli za kutumia nguvu
Ugumu kwenye mikono, magoti, nyonga ama mgongo baada ya mtu kukaa kwa muda bila kusonga
Viungo kuvimba na kuwa vidhaifu na vyororo
Viungo kugongana na kutoa sauti mtu anajaribu kutembeatembea
Rheumatoid Arthritis
- Viungo vyenye maumivu makali vyenye kukauka
- Viungo kuwa na joto, vyekundu na kuvimba
- Mtu kuwa na joto
- Kuhisi mchovu na mdhoofu
- Kukosa hamu ya chakula
- Lupimo sanitarium clinic tunatibu kabisa tatizo hili fika leo uweze kusaidiwa,Kama una swali,maoni au ushauri wasiliana nasi kwa simunamba 0769368546,0719097574 na 0754301115piawww.facebook.com/lupimoclinic,www.twitter.com/lupimoclinic na www.hulkshare.com/lupimoclinic
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni