NAMNA YA KUZUIA KINYWA KUTOA HARUFU MBAYA
Husababisha na
aina ya bakteria ambao wanauwezo wa kuzalisha salfa kwenye ulimi,koo na
tonsil. Bakteria hawa huweza kuishi bila kutegemea oksijeni(anaerobes).
1. Kunywa Maji ya kutosha
Hakikisha unakunywa maji mengi. Maji yanasaidia kinywa kutoa mate. Mate
yanauwezo wa kupunguza harufu mbaya kwa kuwa mate yana kemikali na
vimeng'enyo ambavyo huua bakteria wanaozalisha gesi zenye harufu.
2. Mouth Cleansers(vifaa vya kusafishia kinywa)
Kuwa makini unapochagua miswaki pamoja na dawa za meno. Watu ambao wana midomo Mikavu watumie
dawa zenye uwezo wa kutoa unyevu pamoja na dawa za just kujua.
Unapochagua dawa za meno,ni vema luang alia viambata(ingredients).
Ingawa dawa nyingi za meno zinaviambata vinavyofanan angalia dawa
yenye triclosan., ambayo ina nguvu ya kuua bacteria na hupambana na
harufu mbaya. Pia tumia unaweza kutumia vitu vnavotoa harufu mfano mint
au lemon
3. Punguza Matumizi ya dawa.
Takribani asilimia 75% ya madawa husababisha ukavu wa kinywa.. Hivyo
basi matumizi ya dawa ambayo siyo ya msingi yaepukwe na kutumia dawa
inapohitajika. Hatua hii itasaidia kupungza harufu mbaya inayosababishwa
na ukavu wa kinywa.
4. Mafindofindo.
Tonsil ni sehemu nyingine katika kinywa ambapo mabaki ya vyakula pamoja
na bacteria vinaweza kukwama .Vitu hivi vkikaa kwa muda mrefu
husababisha kinywa kutoa harufu mbaya.
5. Safisha Ulimi.
Ulimi ni sehemu nyingine katika kinywa ambapo bacteria wanaweza
kuzaliana. Hakikisha unasafisha ulimi wako kwa kutumia mswaki mwingine.
kama unatatizo hili basi usisite kutufikia lupimo sanitarium clinic tukupatie matibabu ya kuondoa tatizo hilo, na tunapatika mikoa mbalimbali hapa nchini,
VITUO VYETU
TUNAVYOPATIKANA LUPIMO SANITARIUM CLINIC NI KAMA IFUATAYO. IRINGA TUPO KIHESA
NJIA PANDA YA MTWIVILA, MBEYA TUPO SOWETO KARIBU NA UWANJA WA SHULE YA MSINGI
MWENGE, DAR ES SALAAM TUPO SINZA MORI AU SINZA MAPAMBANO NYUMA YA UKUMBI WA
LULU, DODOMA TUPO AREA C KARIBU NA MSIKITI WA AREA C, SINGIDA TUPO MANYONI NJIA
PANDA YA KUELEKEA CHIKOLA NA HEKA, GEITA TUPO MITI MIREFU KARIBU NA BICK HOTEL,
MWANZA TUPO NYEGEZI KITUO CHA KIJIWENI AU KALFONIA,
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni