Jumamosi, 2 Januari 2016




Kuna Aina mbalimbali Ya Vyakula na Matunda Ambavyo Vimefanyiwa Utafiti Na Kubaini Kuwa binadamu akitumia hivyo hususani kwa mwanaume vinaweza kumsaidia kutokutana na tatizo la Upungufu wa nguvu za Kiume Ni Moja Ya Vyakula Vinavyosaidia Kuongeza Nguvu Za Kiume Na Havina Madhara Katika Engezeko La Nguvu Za Kiume, Katika Vyakula Hivyo Vyenye Uwezo Wa Kuongeza Nguvu Za Kiume Kiasili Ni:

TANGAWAZI 




- Tangawizi Ni Moja Ya Chakula Kinachoweza Kurejesha Nguvu Za Kiume, Unaweza Kuichemsha Tangawizi Na Ukatumia Kwa Kuinywa Kama Chai Asubuhi, Mchana Na Jioni Pia Tangawizi Unaweza Ukaitumia Katika Mchanganyiko Wa Kiasili Kwa Kutumia Habat Soda,Asali,Kitunguu Saumu Na Tangawizi Yenyewe.


JINSI YA KUTUMIA MCHANGANYIKO HUU:
 

Chukua Tangawizi Na Kitunguu Saumu Vitwange Kisha Vichanganye Na Asali Pamoja Na Unga Wa Habat Soda Na Uwe Unakunywa Mchanganyiko Huu Kwa Kutumia Kijiko Cha Chai Kimoja Kutwa Mara 3 Kwa Muda Wa Wiki Moja Na Utaona Mabadiliko


2.TIKITI MAJI

-Chakula Kingine Kinachosaidia Katika Upande Wa Kuongeza Nguvu Za Kiume Ni Tunda La Tikiti Maji, Unaweza Ukachukua Tikiti Lako Ukalikata Na Kutengeneza Juice Ya Tikiti Kisha Unakunywa Ila Sio Lazima Utengeneze Juice Hata Lenyewe Tu Unaweza Ukalila. Ila Jitahidi Kutumia Tunda Hili Hata Kila Siku Kwani Linasaidia Sana Kwa Wenye Matatizo Ya Nguvu Za Kiume.

Papai na Faida Zake kiafya na kimatibabu

Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win
Papai na Faida Zake kiafya na kimatibabu

Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win

 
PAPAI
Papai hujulikana kwa Lugha nyingine kama Papaya, Paw Paw, Papaw, Tree Melon (botanical name Carica Papaya), lina umbo kama Yai la kuku na langi ya kijani manjano, manjano ama rangi ya chungwa lililoiva vizuri. Papai ni Tunda la mti aina ya mpapai na linaweza kufikia uzito wa kilo mbili na nusu 2.5kg. Kawaida huwa na Radha ya Uchungu Utamu na lina asili ya Ukanda wa Tropiko na maeneo yenye Unyevu mfano Mexico, Amerika ya Kati, Afrika, Asia, Australia nk.

Copy and WIN : http://bit.ly/copy_win

Papai hujulikana kwa Lugha nyingine kama Papaya, Paw Paw, Papaw, Tree Melon (botanical name Carica Papaya), lina umbo kama Yai la kuku na langi ya kijani manjano, manjano ama rangi ya chungwa lililoiva vizuri.

Papai ni Tunda la mti aina ya mpapai na linaweza kufikia uzito wa kilo mbili na nusu 2.5kg. Kawaida huwa na Radha ya Uchungu Utamu na lina asili ya Ukanda wa Tropiko na maeneo yenye Unyevu mfano Mexico, Amerika ya Kati, Afrika, Asia, Australia nk

FAIDA ZA PAPAI
-Huboresha Afya ya mwili na kuufanya kuwa na nguvu ya kutosha kwa muda mrefu ·
 -
Huchochea uimarishwaji wa Misuli ya mwili · -Husaidia Mfumo wa mzunguko wa Damu. ·

 -Husaidia Uimarishwaji wa Kinga ya mwili · -Husaidia Mfumo wa Umeng’ennyaji wa Chakula na hasa Protein na Huleta Muongezeko wa Uzalishaji wa Vimeng’enya, katika usagaji Chakula. ·

-Husaidia tatizo la Kisukari na Asthma. · -Mgonjwa wa Kifua Kikuu akila kwa muda mrefu matunda haya atapona na hutibu kiungulia.

PARACHICHI


Parachichi ni tunda maarufu zuri, tamu na lenye manufaa mengi kwa afya ya mwanadamu. 
FAIDA ZA PARACHICHI
Tunda hili husaidia kuondoa upungufu wa damu mwilini. Pia kutoa tatizo la tumbo yabisi, kukausha na vidonda vya tumbo, figo, ini, na magonjwa ya ngozi, nguvu za mwili, ubongo, mfumo mzima wa fahamu kwa kurudisha  neva za fahamu,  kujenga mifupa na kukufanya uweze kuona vyema. Kadhalika,,  matatizo ya kichwa, koo, tumbo, mapafu nk.
MATUMIZI YAKE KWA TIBA

Ponda ponda mbegu za parachichi, anika vizuri ikauke,weka vijiko viwili vya chai katika uji mara tatu kwa kutwa, na fanya hivyo kwa muda wa wiki moja, ( siku 7). Chemsha majani yake kama chai na jaza kwenye kikombe kimoja na tumia kutwa mara tatu kwa siku zote. Kwa njia hii utasaidia kuondoa matatizo ya uchovu, udhaifu na kujisikia vibaya.
 
FAIDA ZAKE
Majani yake yakitafunwa hutibu vidonda vya kinywani hususani fizi, kuimarisha meno na kuondoa maumivu.
Mbegu yake ikikaangwa na kusagwa kidogo huondoa shida ya kukwama kwa mkojo. 
Weka vijiko viwili vya chai kwenye kikombe cha chai ya moto, koroga na kunywa.
Kwa ajiri ya yabisi tumbo, paka na sugua mahali panapouma. Pia, paka kichwani kama nywele zako zina tatizo la kukatikakatika. Pia , inasaidia kukuza nywele.
 
KARANGA MBICHI
 
Wengi wetu huchukulia ulaji wa karanga kama chakula cha kujiburudisha na kisichokuwa na umuhimu sana katika afya ya mwili wa binadamu. Kiukweli karanga siyo chakula cha kupuuziwa iwapo utajua faida zake
 
1.Kupambana na Magonjwa ya Moyo. 
Kama ilivyokuwa kwa korosho, karanga nazo ni chanzo kizuri cha mafuta mazuri aina ya ‘monounsaturated fats’ ambayo yanatiliwa mkazo kutumiwa kwa afya ya moyo.
 Kwa mujibu wa utafiti, watu wanaokula karanga mara kwa mara hupunguza hatari ya kupatwa na ugonjwa wa moyo (cardiovascular heart disease) kwa asilimia 21.  
MABOGA


Kwa muda mrefu maboga yamekuwa yanajulikana kwa kuwa na uwezo mkubwa wa kutumika kama dawa, vilevile chakula hicho kina protini yenye nguvu ambayo inaweza kupambana na magonjwa mbalimbali yanayotokana na kuvu au fungus.

INASAIDIA NINI?


inapambana vilivyo na ugonjwa unaosababishwa kuvu au fungus wa sehemu za uke (Vaginal yeast infection). 

Vilevile michubuko inavyotokana na mkojo au nepi (diaper rashes) pamoja na matatizo mengine ya kiafya. 

Protini hiyo ya Pr-2 iliyoko kwenye maboga halikadhalika inazuia aina 10 za fungus au kuvu ikiwemo aina hatari ya fungus wajulikanao kama Candida Albicans. 

Fungus hao ni maarufu kwa kusababisha matatizo kwa watu wenye ugonjwa wa kisukari na kupelekea kupata fungus midomoni, katika ngozi, chini ya kucha pamoja na katika mfumo mzima wa mwili.
 
Waaalamu wana matumaini kuwa, protini hiyo inayopatikana kwenye maboga inaweza kupelekea mafanikio ya kutengezezwa tiba asilia ya kupambana na magonjwa ya kuvu au fungus.
 
Sasa basi kwa kutizama aina za matunda hizo hapo juu ambazo LUPIMO SANITARIUM CLINIC tunakushauri uzitumie zitakusaidia kuondolea kabisa tatizo lako la nguvu za kiume kwa ushauri zaidi juu ya tatizo lako fika ofisini kwetu tupo mikoa mbalimbali hapa nchini

VITUO VYETU TUNAVYOPATIKANA LUPIMO SANITARIUM CLINIC NI KAMA IFUATAYO. IRINGA TUPO KIHESA NJIA PANDA YA MTWIVILA, MBEYA TUPO SOWETO KARIBU NA UWANJA WA SHULE YA MSINGI MWENGE, DAR ES SALAAM TUPO SINZA MORI AU SINZA MAPAMBANO NYUMA YA UKUMBI WA LULU, DODOMA TUPO AREA C KARIBU NA MSIKITI WA AREA C, SINGIDA TUPO MANYONI NJIA PANDA YA KUELEKEA CHIKOLA NA HEKA, GEITA TUPO MITI MIREFU KARIBU NA BICK HOTEL, MWANZA TUPO NYEGEZI KITUO CHA KIJIWENI AU KALFONIA,


kwa maelezo zaidi,maoni au ushauri wasiliana nasi kwa simu namba 0769368546,0719097574 na 0742120577 pia www.facebook.com/lupimoclinic,www.twitter.com/lupimoclinic na www.hulkshare.com/lupimoclinic.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni