Jumapili, 3 Januari 2016

FAIDA YA MATUNDA YANAYOPATIKANA KATIKA MAENEO YETU KWA KULINDA AFYA YAKO.

Fahamu faida za matunda haya kwa ubora wa afya yako. 
Kuna faida nyingi za kula matunda licha ya kupenda ladha tamu zamatunda tunayokula. 

 

Matunda yana virutubisho vingi ikiwa vitamin A na C hupatikana kwenye matunda mengi ukilinganisha na virutubisho vingine vilivyopo kwenye matunda mengine.
  

Matunda husaidia kupunguza matatizo ya moyo( heart diseases ), stroke ( kiharusi ), shinikizo la damu ( blood pressure ), cholesterol, aina mbalimbali za saratani (cancer ), matatizo ya uwezo wa macho kuona na mengine mengi. Matunda yote yana manufaa kwa miili yetu lakini napenda uyajue haya machache 


Ninaamini kunakitu umekipata kupitia elimu hii ya matunda hayo yote yanaouwezo wa kukusaidia katika kujenga afya ya mwili wako,sasa basi kwa Ushauri wa masuala yote yanahusu afya tufikie lupimo sanitarium clinic katika vituo vyetu vilivyopo mikoani

VITUO VYETU TUNAVYOPATIKANA LUPIMO SANITARIUM CLINIC NI KAMA IFUATAYO. IRINGA TUPO KIHESA NJIA PANDA YA MTWIVILA, MBEYA TUPO SOWETO KARIBU NA UWANJA WA SHULE YA MSINGI MWENGE, DAR ES SALAAM TUPO SINZA MORI AU SINZA MAPAMBANO NYUMA YA UKUMBI WA LULU, DODOMA TUPO AREA C KARIBU NA MSIKITI WA AREA C, SINGIDA TUPO MANYONI NJIA PANDA YA KUELEKEA CHIKOLA NA HEKA, GEITA TUPO MITI MIREFU KARIBU NA BICK HOTEL, MWANZA TUPO NYEGEZI KITUO CHA KIJIWENI AU KALFONIA,


kwa maelezo zaidi,maoni au ushauri wasiliana nasi kwa simu namba 0769368546,0719097574 na 0742120577 pia www.facebook.com/lupimoclinic,www.twitter.com/lupimoclinic na www.hulkshare.com/lupimoclinic.
 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni