Jumamosi, 2 Januari 2016

MAUMIVU YA SEHEMU YA CHINI YA MGONGO

Maumivu ya sehemu ya chini ya mgongo au lumbago ni hali inayotokea mara nyingi kwenye hali inayohusu misuli na mifupa ya mgongo. Hali hii huathiri takriban 40% ya watu kwa wakati fulani maishani mwao.
 Maumivu ya sehemu ya chini ya mgongo yanaweza kuainishwa kwa urefu kama maumivu makali ya ghafla (yanayodumu kwa kipindi cha chini ya wiki 6),maumivu sugu ya wastani (wiki 6 hadi 12), au maumivu sugu (zaidi ya wiki 12). 

Hali hii pia inaweza kuainishwa kulingana na visababishi kama inayosababishwa na jeraha au isiyosababishwa na jeraha au maumivu hame .


Katika kesi nyingi za maumivu ya mgongo, kisababishi maalum kikuu hakitambuliwi wala kukadiriwa, kwa sababu maumivu huaminika kusababishwa na jeraha kama vile misuli au mkazo wa viunga


Ikiwa maumivu hayapona baada ya kutibiwa kwa njia isiyohusisha upasuaji au ikiwa maumivu yataandamana na "tahadhari" kama vile kupunguza uzito bila sababu, homa, au matatizo makuu ya kihisia au mwendo, uchunguzi zaidi unaweza kuhitajika kubaini kisababishi kikuu. 


Mara nyingi, vifaa vya utambuzi kama vile tomografia iliyohasibiwa kwa eksireihavihitajiki navyo huandamana na hatari zake Licha ya athari hizi, matumizi ya pichatiba kuchunguza maumivu ya mgongo yameongezeka. 


Unapoona Dalili kaa hizo wahi mapema kufika kituoni Kwetu ili upate vipimo vya mwili mzima na upewe dawa zitakazo kuwezesha kurejea katika hali ya kawaida fika LUPIMO SANITARIUM CLINIC UTIBIWE NA UTAPONA.


VITUO VYETU TUNAVYOPATIKANA LUPIMO SANITARIUM CLINIC NI KAMA IFUATAYO. IRINGA TUPO KIHESA NJIA PANDA YA MTWIVILA, MBEYA TUPO SOWETO KARIBU NA UWANJA WA SHULE YA MSINGI MWENGE, DAR ES SALAAM TUPO SINZA MORI AU SINZA MAPAMBANO NYUMA YA UKUMBI WA LULU, DODOMA TUPO AREA C KARIBU NA MSIKITI WA AREA C, SINGIDA TUPO MANYONI NJIA PANDA YA KUELEKEA CHIKOLA NA HEKA, GEITA TUPO MITI MIREFU KARIBU NA BICK HOTEL, MWANZA TUPO NYEGEZI KITUO CHA KIJIWENI AU KALFONIA,


kwa maelezo zaidi,maoni au ushauri wasiliana nasi kwa simu namba 0769368546,0719097574 na 0742120577 pia www.facebook.com/lupimoclinic,www.twitter.com/lupimoclinic na www.hulkshare.com/lupimoclinic.






Hakuna maoni:

Chapisha Maoni