Jumatano, 6 Januari 2016

 

Msomaji wetu wa blog hii ya lupimo sanitarium clinic karibu katika mwendelezo wa makala mbalimbali zinazohusu afya yako zinazoletwa kwako na tabibu john lupimo wa lupimo sanitarium ambapo leo anakuletea makala inayohusu "MADHARA YA UTOAJI MIMBA"
, lakini kama unaswali unaweza kuuliza kwa simu namba 0769368546,0719097574 na 0742120577 pia www.facebook.com/lupimoclinic,www.twitter.com/lupimoclinic na www.hulkshare.com/lupimoclinic. au unaweza kutufikia katika vituo vyetu vilivyopo mikoani: 

IRINGA TUPO KIHESA NJIA PANDA YA MTWIVILA, MBEYA TUPO SOWETO KARIBU NA UWANJA WA SHULE YA MSINGI MWENGE, DAR ES SALAAM TUPO SINZA MORI AU SINZA MAPAMBANO NYUMA YA UKUMBI WA LULU, DODOMA TUPO AREA C KARIBU NA MSIKITI WA AREA C, SINGIDA TUPO MANYONI NJIA PANDA YA KUELEKEA CHIKOLA NA HEKA, GEITA TUPO MITI MIREFU KARIBU NA BICK HOTEL, MWANZA TUPO NYEGEZI KITUO CHA KIJIWENI AU KALFONIA, 

Msomaji wetu mara baada ya kukumbusha mahali na mawasiliano yetu tunapopatikana sasa moja kwa moja twende kwenye makala yetu juu ya madhara ya utoaji mimba;

 MADHARA YA UTOAJI MIMBA


Tumegundua kuwa siku zinavyokwenda wakina mama,dada na wanafunzi wanaongezeka kwa kasi katika utoaji mimba kwa visingizio mbalimbali.



SABABU ZA UTOAJI MIMBA
.
Kutokua tayari kulea mimba hiyo kwa kuwa hana uwezo au yuko masomoni.
Kutokua tayari kulea mimba hiyo kwa kuwa aliempa mimba ameikataa.
Kutokua tayari kulea mimba hiyo kwa kuwaogopa wazazi au kuchekwa na jamii n.k.
MADHARA BAADA YA KUTOA MIMBA.
Asilimia kubwa ya kuwa mgumba.
Kama mwanamke hajasafishwa vizuri,anaweza kupata infections kwenye kizazi na hatimaye kizazi kutolewa.

Mwanamke anaweza kupoteza damu nyingi hatimaye Kifo.
Vifaa vinavyotumika katika process ya utoaji mimba,visipokua safi anaweza kupata infections kwenye kizazi.



inawezekana ulitoa mimba kwa kuokujua madhara yanayoweza kukuta wakati wa kuanza kutafuta mtoto, tufikie lupimo sanitarium clinic kama umetafuta mtoto na imeshindikana tutakupima mfumo wako wa uzazi kuangalia je mirija ya uzazi imeziba? au kulitokea makovu wakati wa utoaji hiyo mimba baada ya hapo tutakupatia dawa ya kuondoa tatizo hilo na utakuwa tayari kushika ujauzito, wewe mama acha kuhangaika inawezekana umepoteza pesa nyingi kutafuta tiba ya tatizo hilo, tufikie lupimo sanitarium clinic katika vituo vyetu vilivyopo mikoa mbalimbali hapa nchini.


VITUO VYETU TUNAVYOPATIKANA LUPIMO SANITARIUM CLINIC NI KAMA IFUATAYO. IRINGA TUPO KIHESA NJIA PANDA YA MTWIVILA, MBEYA TUPO SOWETO KARIBU NA UWANJA WA SHULE YA MSINGI MWENGE, DAR ES SALAAM TUPO SINZA MORI AU SINZA MAPAMBANO NYUMA YA UKUMBI WA LULU, DODOMA TUPO AREA C KARIBU NA MSIKITI WA AREA C, SINGIDA TUPO MANYONI NJIA PANDA YA KUELEKEA CHIKOLA NA HEKA, GEITA TUPO MITI MIREFU KARIBU NA BICK HOTEL, MWANZA TUPO NYEGEZI KITUO CHA KIJIWENI AU KALFONIA,


kwa maelezo zaidi,maoni au ushauri wasiliana nasi kwa simu namba 0769368546,0719097574 na 0742120577 pia www.facebook.com/lupimoclinic,www.twitter.com/lupimoclinic na www.hulkshare.com/lupimoclinic.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni