Jumapili, 19 Juni 2016

MATATIZO YA KUSINYAA KWA INI NA NAMNA MBEGU ZA PAPAI ZINAVYOWEZA KUSAIDIA TATIZO HILO


Habari za leo mdau wangu wa www.lupimoclinic.blogspot.com karibu tubadilishane mawazo kuhusu mimea tiba kama ilivyo kawaida yetu.

Leo napenda tuzungumze tatizo la kusinyaa kwa ini lakini pia nitakupatia na njia za kukabiliana na tatizo hilo.


Kusinyaa kwa ini ni ugonjwa wa ini ambapo makovu magumu magumu huzingira ini lote badala ya chembechembe laini ambazo hufanya ini lionekane kama spongi.


Ini linapokuwa limeathirika namna hiyo hushindwa kufanya kazi zake kama vile kutengeneza protini na kuondoa sumu ndani ya damu na hivyo  husababisha shinikizo la juu la damu ndani ya mishipa ya damu.


Uvujaji wa damu wa ndani kwa ndani huweza kutokea na pia mkusanyiko wa maji ndani ya tumbo hivyo kufanya tumbo kuvimba.


Kuathirika kwa ini huweza kutokana na unywaji wa pombe kupiya kiasi , uvutaji wa hewa yenye sumu au ulaji wa chakula chenye sumu na ugonjwa wa homa ya manjano 'hepatitis' 


Baada ya ini kuathirika kwa ugonjwa wa kusinyaa kwa ini huwa ni ngumu kulirejesha katika hali ya kawaida, ila linaweza likasaidiwa kwa kula chakula kinachofaa na kaucha matumizi ya vileo.


Hata hivyo, mgonjwa anaweza kutumia mbegu za papi na ndimu ili kupunguza athari za tatizo hili.


Ili kutumia ndimu na mbegu za papai unachopaswa kufanya ni kupata juisi ya mbegu za papai kijiko kimoja cha mezani changanya na matone kumi ya juisi ya ndimu,


Utatumia kinywaji hicho asubuhi na jioni kwa muda wa mwezi mmoja


lakini lupimo sanitarium clinic tunatibu tatizo hilo na ukarudi katika hali yako ya kawaida na ini litaendelea  kufanya kazi vizuri kama awali.


kwa maelezo zaidi,maoni au ushauri wasiliana nasi kwa simu namba 0769368546,0719097574 na 0742120577 pia www.facebook.com/lupimoclinic,www.twitter.com/lupimoclinic na www.hulkshare.com/lupimoclinictanzania,www.lupimoclinic.blogspot.com,youtube.com/lupimoclinic

 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni