UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME (SEXUAL IMPOTENCE)
MATUNDA AINA MBALIMBALI |
Kwa
miaka ya hivi karibuni imebainika kuwa sababu zinazosababisha upungufu
wa nguvu za kiume zimeongezeka na zifuatazo ni baadhi ya sababu hizo,
nazo ni;
- Kutokana na mabadiliko ya kisayansi na kukua kwa teknolojia wanaume wengi wamekuwa wakiishi maisha rahisi ya kutotumia miili yao kwa kufanya kazi zinazotumia nguvu na matokeo yake mwili unashindwa kujenga misuli imara katika viungo mbalimbali vya mwili.
- Ulaji wa vyakula vilivyopitia viwandani na vyenye asili ya mafuta na protini nyingi ambapo vyakula hivyo vinakosa virutubisho muhimu kwa ajili ya kuimarisha viungo nyeti. Vyakula vyenye asili ya mafuta vinasababisha kuwepo kwa cholestral kwenye damu ambayo inapunguza au kuzuia mzunguko wa damu kwenye nyeti za mwanaume na hatimaye kushindwa kufanya kazi vizuri.
- Matumizi ya mara kwa mara ya vileo/pombe, kahawa, uvutaji wa sigara nayo yanachangia upungufu wa nguvu za kiume.
- Athari za magonjwa kama kisukari, arteri, magonjwa ya neva yanayosababishwa na ulaji wa vyakula vyenye protini nyingi na mafuta mengi.
- Ukosefu wa madini na vitamini mbalimbali zinazopatikana kwa wingi kutoka kwenye matunda na mbogamboga.
Kutokana
na kero ya tatizo la upungufu wa nguvu za kiume au uhanithi, watu wengi
wamekuwa wakijaribu kutumia vidonge ili waweze kuongeza nguvu na
kufurahia tendo la ndoa. Imebainika kuwa matumizi ya vidonge hivyo yana
madhara kwa afya ya mtumiaji. Baadhi ya athari anazoweza kuzipata
mtumiaji wa dawa hizo ni pamoja na kuharisha, kichefuchefu, kuumwa na
kichwa, kupooza baadhi ya viungo, upofu, kutosikia, na hata kupoteza
kabisa kwa nguvu za kiume. Hali hiyo imewafanya watu wengi siku hizi
wageukie matumizi ya dawa za mimea asilia au vyakula asilia ambapo
havina athari kwa mtumiaji.
Hivyo basi mtu mwenye tatizo la uhanithi au upungufu wa nguvu za kiume anapaswa kuzingatia yafuatayo:
- Kutumia kwa wingi matunda ikiwa kama sehemu ya mlo wake kila wakati anapopata mlo kwa siku tano hadi saba za mwanzo. Mtumiaji anaweza kuwa na milo mitatu kwa siku ambapo pia matumizi ya juisi ya zabibu, machungwa, apple, peas, nanasi, parachichi na tikitiki maji yanahimizwa.
- Matumizi ya vyakula vya nafaka pia yanafufua matumaini kwa mtu aliyepoteza uweza wa kufanya tendo la ndoa kuweza kusimama upya. Inashauriwa pia mtumiaji atumie asali, mtindi, kitunguu saumu, mbogamboga na matunda mara kwa mara. Wakati huo huo mgonjwa aepuke matumizi ya sigara, pombe au vileo, kahawa, na vyakula vilivyopitia viwandani na vyenye protini na mafuta mengi.
- Mazoezi ya viungo au mwili ama kufanya kazi zinazotumia nguvu nako kunasaidia kuimarisha viungo vya mwili. Iwapo mgonjwa atafanya kazi ya kutumia nguvu au mazoezi ya viungo japo dakika 30 hadi 45 kila siku na kisha kula vyakula vilivyoelezewa hapo juu anaweza kuwa na uwezo wa kusimama mwenyewe pasipo kutumia msaada wa vidonge vya kuongeza nguvu.
matatizo ya nguvu za kiume tunayatibu vizuri na utarudi katika hali yako yakwaida kabisa, cha kufanya kama una tatizo hilo tufikie haraka iliuweze kupata matibabu haraka
tunapatikana mikoa mbalimbali hapa nchini kama ifuatavyo
VITUO VYETU TUNAVYOPATIKANA LUPIMO SANITARIUM CLINIC NI KAMA
IFUATAYO. IRINGA TUPO KIHESA NJIA PANDA YA MTWIVILA, MBEYA TUPO SOWETO KARIBU
NA UWANJA WA SHULE YA MSINGI MWENGE, DAR ES SALAAM TUPO SINZA MORI AU SINZA
MAPAMBANO NYUMA YA UKUMBI WA LULU, DODOMA TUPO AREA C KARIBU NA MSIKITI WA AREA
C, SINGIDA TUPO MANYONI NJIA PANDA YA KUELEKEA CHIKOLA NA HEKA, GEITA TUPO MITI
MIREFU KARIBU NA BICK HOTEL, MWANZA TUPO NYEGEZI KITUO CHA KIJIWENI AU
KALFONIA,
kwa maelezo zaidi,maoni au ushauri wasiliana nasi kwa simu namba
0769368546,0719097574 na 0742120577 pia
www.facebook.com/lupimoclinic,www.twitter.com/lupimoclinic na
www.hulkshare.com/lupimoclinic.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni