Jumapili, 10 Januari 2016

TUMIA NJIA HIZI ILI KUACHA TABIA YA KUJICHUA (PUNYETO)

Vijana wengi kwa sasa wanapokua hujikuta wakishindwa kuhimili mihemko ya mwili wakati wa ukuaji na hivyo kujikuta wakiingia kwenye tatizo la kujichua (punyeto)

Kitendo cha kujichua kinapofanyika kwa muda mrefu huchangia sana tatizo la upungufu wa nguvu za kiume kutokana na mishipa ya uume kulegea.

Sasa hapa ninazo mbinu zitakazokusaidia kuachana na tatizo la kujichua.
Acha kuangalia video za ngono:
Video hizo huwa chanzo kikuu cha kukupelekea kufanya maamuzi ya kuanza kujichua kwa watu wengi, hii ni kwasababu picha hizo hujenga picha nyingi kwenye ubongo na kila picha unayoiona utataka ukaipigie punyeto hivyo kuacha kuziangalia tu ndio itaweza kuwa suluhisho la wewe kuachana na tatizo hili.

Usitumie muda mwingi wakati wa kuoga.
Bafuni ndio sehemu ambayo inatumika sana na watu wengi kupiga punyeto hivyo ni vizuri kuepuka kutumia muda mwingi kuwa bafuni kwa kuoga haraka na kuondoka, Pia ni vyema ukaoga maji ya baridi ambayo mara nyingi hayatoi muhemko wa kupiga punyeto.
Epuka kukaa nyumbani peke yako;
Kukaa peke yako nyumbani kutakufanya ushawishike kufanya tendo hilo, hivyo ni vyema kujichanganya na watu wengine na kuongea nao.

Kama unaamua kuacha basi acha kweli
Hii inamaana kuwa unapaswa kuacha kusema eti hii ni mara ya mwisho na sitafanya tena, inaonekana kwamba wengi ambao husema hivyo hushindwa kuacha hivyo kama unaacha acha mara moja.
Tafuta mpenzi:
Amua kuwa na mpenzi mmoja na mwaminifu ili kuepuka kuendelea kufanya hii punyeto ambayo madhara yake ya baadaye huwa ni makubwa ikiwa upungufu wa nguvu za kiume.

Fanya mazoezi
Pia mazoezi ya yatakufanya uchoke na kushindwa kufikiria kupiga punyeto wakati wa kwenda kulala.


kwa msaada zaidi pamoja na matibabu endapo tatizo hilo limekuathiri kwa kiasi kikubwa tufikie lupimo sanitarium clinic katika mikoa tunayopatikana hapa nchini,
 
VITUO VYETU TUNAVYOPATIKANA LUPIMO SANITARIUM CLINIC NI KAMA IFUATAYO. IRINGA TUPO KIHESA NJIA PANDA YA MTWIVILA, MBEYA TUPO SOWETO KARIBU NA UWANJA WA SHULE YA MSINGI MWENGE, DAR ES SALAAM TUPO SINZA MORI AU SINZA MAPAMBANO NYUMA YA UKUMBI WA LULU, DODOMA TUPO AREA C KARIBU NA MSIKITI WA AREA C, SINGIDA TUPO MANYONI NJIA PANDA YA KUELEKEA CHIKOLA NA HEKA, GEITA TUPO MITI MIREFU KARIBU NA BICK HOTEL, MWANZA TUPO NYEGEZI KITUO CHA KIJIWENI AU KALFONIA,


kwa maelezo zaidi,maoni au ushauri wasiliana nasi kwa simu namba 0769368546,0719097574 na 0742120577 pia www.facebook.com/lupimoclinic,www.twitter.com/lupimoclinic na www.hulkshare.com/lupimoclinic.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni