FAIDA YA KITUNGUU MAJI
UKIJUA FAIDA YA KITUNGUU MAJI HUTAACHA KUKITUMIA
Baadhi
ya magonjwa ambayo hadi sasa haijafahamika tiba yake katika hospitali
zetu yanayotibika kwa kitunguu maji ni pamoja na saratani (Cancer),
kisukari, vidonda vya tumbo, presha, na pumu. Dawa hii pia ni tiba ya
kifua kikuu.
leo
nitazungumzia tiba ya magonjwa mbalimbali kwa kutumia kitunguu maji.
Mbali
ya kitunguu maji kutumika kama kiungo katika mboga zetu, lakini pia ni
tiba inayotumika sana nchini Misri na imeonesha mafanikio kwa kutibu
maradhi mbalimbali, yakiwemo yale yasiyo na tiba katika hospitali nyingi
hapa nchini.
Baadhi
ya magonjwa ambayo hadi sasa haijafahamika tiba yake katika hospitali
zetu yanayotibika kwa kitunguu maji ni pamoja na saratani (Cancer),
kisukari, vidonda vya tumbo, presha, na pumu. Dawa hii pia ni tiba ya
kifua kikuu.
Kwa
mujibu wa wataalamu mbalimbali wa masuala ya tiba, kitunguu maji kina
uwezo wa kufungua hamu ya kula, hutia kiu, hulainisha chakula tumboni na
huleta hamu ya tendo la ndoa kwa wanaume na wanawake.
Aidha
mtaalamu mmoja anayefahamika kwa jina la Ibn Baitar amepata kunukuliwa
akisema kwamba, kitunguu maji huingiza kwa wingi vitamin C katika mwili
wa binadamu ambayo inasaidia sana kuona vizuri.
Lakini
pia ndani ya kitunguu maji zimo chembechembe zenye kuua vijidudu
(Bacterias) na ndio maana dawa hii ina uwezo pia wa kutibu kifua kikuu
(TB), kaswendwe na kisonono.
Hivyo
kupitia makala yetu haya, tunawashauri watu wapendelee sana kutumia
kitunguu maji kwa ajili ya kinga na tiba ya maradhi katika miili yetu.
Na
imethibitika kuwa wagonjwa wengi waliowahi kutumia tiba ya kitunguu
maji kwa muda mrefu wamepata nafuu na wengine hupona kabisa maradhi yao.
Sasa ebu tuangalie matumizi sahihi ya dawa ya kitunguu maji;
Kwa mgonjwa wa kifaduro, pumu, vidonda vya tumbo, presha, kifua kikuu, malaria na ugonjwa wa matumbo (typhold) anatakiwa mgonjwa kuchukua juisi ya kitunguu maji ujazo wa kikombe cha kahawa achanganye na asali mbichi ujazo wa nusu lita, kisha aitumie kwa kula katika ujazo wa kijiko kikubwa asubuhi na jioni.

Ama
wale wagonjwa wanaosumbuliwa na matatizo ya nguvu za kiume wanashauriwa
watafune kitunguu maji kibichi kwa muda wa siku saba asubuhi na jioni.
Na
maradhi yote yaliyobakia yanatibika kwa njia mbili zifuatazo;- kwanza
kwa njia ya kiungo katika mboga na pili ni kwa kutafuna kitunguu
chenyewe kila siku na Mola Muumba akipenda matatizo yatapungua ama
kwisha kabisa.
Aidha
kwa mgonjwa wa mapunye na kunyonyoka nywele kichwani anaweza kujitibu
kwa kukipondaponda vizuri, alafu achanganye na mafuta ya zaituni, kisha
apake kichwani mpaka atakapoona tatizo limekwisha.kwa maelezo zaidi,maoni au ushauri wasiliana nasi kwa simu namba 0769368546,0719097574 na 0742120577 pia www.facebook.com/lupimoclinic,www.twitter.com/lupimoclinic na www.hulkshare.com/lupimoclinictanzania.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni