Jumatatu, 8 Februari 2016

FANGASI SEHEMU ZA SIRI HUWATESA WANAWAKE WENGI, HIVYO NI VYEMA UKAFAHAMU NAMNA YA KUTIBU KWA NJIA ASILI.

XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX
Je umeshindwa kubeba mimba? Je unauvimbe ndani ya mji wa mimba? Je unauvimbe kwenye ovari? Kutana na tabibu bingwa wa tiba asilia ndugu John lupimo wa lupimo  sanitarium clinic utatibiwa bila kufanyiwa upasuaji, anazo dawa zinazotengenezwa kama tiba lishe, mpigie kwa namba 0742120577 au 0672666601.
XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX



Fangasi za ukeni ni moja ya matatizo ambayo huwasumbua kinadada waliowengi. Tatizo hili hujulikana kama Candida.

Fangasi hawa husababisha muwasho mkali  sehemu za siri na fangasi hao huweza kuambukizwa kwa njia ya kujamiana.

Dalili za tatizo hili ni huo muwasho sehemu za siri, kutokwa na uchafu ukeni ambao mara nyingi huwa na rangi ya maziwa.

Wanawake wengine wenye shida hii hupata maumivu wakati wa tendo la ndoa, michubuko na hata viupele wakati mwingine.

Matibabu ya fangasi hawa huweza kutibika kwa dawa za hospitali, lakini kama fangasi zako zimekuwa ni sugu yaani ni zile za kujirudia rudia mara kwa mara basi ni wakati mzuri sana kwako kutumia dawa kutoka lupimo sanitarium clinic kwani tunazo dawa nzuri za kumaliza tatizo hilo,

Tunapatikana mikoa mbalimbali hapa nchini tanzania kwa kutoa huduma nzuri za kiafya na hapa utakutana na tabibu bingwa wa magonjwa sugu john lupimo,

VITUO VYETU TUNAVYOPATIKANA LUPIMO SANITARIUM CLINIC NI KAMA IFUATAYO. IRINGA TUPO KIHESA NJIA PANDA YA MTWIVILA, MBEYA TUPO SOWETO KARIBU NA UWANJA WA SHULE YA MSINGI MWENGE, DAR ES SALAAM TUPO SINZA MORI AU SINZA MAPAMBANO NYUMA YA UKUMBI WA LULU, DODOMA TUPO AREA C KARIBU NA MSIKITI WA AREA C, SINGIDA TUPO MANYONI NJIA PANDA YA KUELEKEA CHIKOLA NA HEKA, GEITA TUPO MITI MIREFU KARIBU NA BICK HOTEL, MWANZA TUPO NYEGEZI KITUO CHA KIJIWENI AU KALFONIA,


kwa maelezo zaidi,maoni au ushauri wasiliana nasi kwa simu namba 0769368546,0719097574 na 0742120577 pia www.facebook.com/lupimoclinic,www.twitter.com/lupimoclinic na www.hulkshare.com/lupimoclinic.



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni