Jumatano, 3 Februari 2016

Thursday, February 4, 2016

Ofisa Elimu Atiwa Mbaroni Katavi Akituhumiwa Kumchoma Kisu Na Kumuua Mgoni Wake Aliyemfumania Akifanya Mapenzi Na Mkewe

habari hii inaletwa kwako kwa hisani kubwa ya lupimo sanitarium clinic kwa matibabu ya afya yako kwa msaada zaidi wa kimatibabu ya maradhi mbalimbali kama muwasho sehemu za siri, matatizo ya kutokupata ujauzito, vidonda vya tumbo, kifafa, matatizo ya nguvu za kiume na mengine mengi mawasiliano yetu ni 0769368546 au 0719097574

Polisi mkoani Katavi inamshikilia Mratibu Elimu Kata ya Katuma wilayani Mpanda, Mohamed Muna (59) kwa tuhuma za kumchoma kisu na kumuua mkazi wa kitongoji cha Misheni, Gidison Vincent (32), anayedaiwa kuwa mgoni wake.

Inadaiwa kuwa mtuhumiwa huyo alimuua Gidison baada ya kumfumania ndani ya nyumba yake akifanya mapenzi na mkewe, Ester Kasansa ‘Chuki’ (36).

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Dhahiri Kidavashari akithibitisha alisema mkasa huo ulitokea Januari 27, mwaka huu saa 02:30 usiku, katika Kitongoji cha Mashineni, Kata ya Katuma wilayani Mpanda.

“Usiku huo wa tukio, mtuhumiwa alimkuta Gidison (sasa marehemu) akiwa ndani ya nyumba yake akifanya mapenzi na mke wake aitwaye Ester, ndipo alipogonga mlango wa chumbani na mgoni wake (marehemu) kutoka nje na kuanza kupambana naye, ambapo mtuhumiwa alimchoma kisu kifuani na kukimbia,” Kidavashari alisema.

Kwa mujibu wa Kidavashari, chanzo cha mauaji hayo ni wivu wa kimapenzi na mtuhumiwa anatarajiwa kufikishwa mahakamani mara baada ya upelelezi wa awali kukamilika ili kujibu tuhuma inayomkabili.
xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx
VITUO VYETU TUNAVYOPATIKANA LUPIMO SANITARIUM CLINIC NI KAMA IFUATAYO. IRINGA TUPO KIHESA NJIA PANDA YA MTWIVILA, MBEYA TUPO SOWETO KARIBU NA UWANJA WA SHULE YA MSINGI MWENGE, DAR ES SALAAM TUPO SINZA MORI AU SINZA MAPAMBANO NYUMA YA UKUMBI WA LULU, DODOMA TUPO AREA C KARIBU NA MSIKITI WA AREA C, SINGIDA TUPO MANYONI NJIA PANDA YA KUELEKEA CHIKOLA NA HEKA, GEITA TUPO MITI MIREFU KARIBU NA BICK HOTEL, MWANZA TUPO NYEGEZI KITUO CHA KIJIWENI AU KALFONIA,


kwa maelezo zaidi,maoni au ushauri wasiliana nasi kwa simu namba 0769368546,0719097574 na 0742120577 pia www.facebook.com/lupimoclinic,www.twitter.com/lupimoclinic na www.hulkshare.com/lupimoclinic.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni