HIZI HAPA FAIDA NYINGINE ZA MATUMIZI YA ALIZETI
Alizeti ni moja kati ya mazao ambayo hupatikana hapa nchini katika baadhi ya mikoa ikiwemo Singida na Iringa.
Mbegu mbichi za alizeti ni tiba ya mishipa ya fahamu. mapafu mafua na kifua.
Alizeti pia zina uwezo mzuri wa
kuimarisha mifupa kutokana na kuwa na madini ya ‘magnesium’ na ‘copper’ ambayo
husaidia kuifanya mifupa kuwa imara.
Hali kadhalika alizeti zimesheheni vitamin
E, ambayo husaidia kuondoa maumivu ya viungo katika mwili pamoja na kupambana na miale hatari ya jua yaani 'UV rays' na hivyo kumfanya mhusika kuwa na ngozi
nzuri muda wote.
Matumizi ya robo kikombe cha alizeti huweza
kukuweka mbali zaidi na uwezekano wa kushambuliwa na maradhi ya moyo, kutokana
na uwezo wake wa kukabiliana na mafuta hatari mwilini ‘cholesterol’ hivyo
kumuepusha mhusika na shambulio la moyo.
Je, unahangaika kutafuta sehemu sahihi ya kuondokana na magonjwa yanayokusumbua yakiwemo yale sugu? Kama jibu ni ndio basi fanya jitihada za kufika lupimo sanitarium clinic katika vituo vyetu vilivyopo mikoani.
kwa maelezo zaidi,maoni au ushauri wasiliana nasi kwa simu
namba 0769368546,0719097574 na 0742120577 pia
www.facebook.com/lupimoclinic,www.twitter.com/lupimoclinic na
www.hulkshare.com/lupimoclinictanzania,www.lupimoclinic.blogspot.com,youtube.com/lupimoclinic,instagram.com/lupimoclin
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni