EPUKA KIFO KISICHOKUWA CHA LAZIMA
  • Nyumbani
  • AFYA
  • SHUHUDA
  • PICHA
  • VIPINDI AUDIO
  • ABOUT US

Ijumaa, 8 Aprili 2016


Lupimo sanitarium clinic sambamba na kwamba wanatoa huduma ya kiafya kwa jamii lakini pia wamekuwa wakitoa misaada mbalimbali kwa jamii, ambapo leo wametoa msaada wa madawati hamsini (50) yenye thamani ya shillingi milllion tatu katika shule ya msingi ipogoro, ambapo katika kukabidhi madawati hayo mgeni rasmi alikuwa mkuu wa mkoa wa iringa Amina Masenza, mkuu wa wilaya ya iringa Richard Kasesera na viongozi wengine wengi, na hii ni katika kuunga mkono Mh Rais Dr John Pombe Magufuli ya kwamba elimu bure, ili wanafunzi waendelee kusoma kwa raha na wasiendelee kukaa chini.

Hapa chini tumekuwekea picha mbalimbali za hafla hiyo ya kutoa msaada wa madawati hayo.

karibu lupimo sanitarium clinic kwa matibabu ya afya yako wasiliana nasi kwa namba 0719097574, 0742120577 au 0672666601






TABIBU JOHN LUPIMO AKIWA NA MKUU WA MKOA WA IRINGA AMINA MASENZA



karibuni sana lupimo clinic ambayo ni kituo cha sayansi ya tiba asilia na tiba mbadala na tunapatikana mikoa mbalimbali hapa nchini tanzania

kwa maelezo zaidi,maoni au ushauri wasiliana nasi kwa simu namba 0769368546,0719097574 na 0742120577 pia www.facebook.com/lupimoclinic,www.twitter.com/lupimoclinic na www.hulkshare.com/lupimoclinictanzania,www.lupimoclinic.blogspot.com,youtube.com/lupimoclinic


Posted by Unknown at 03:50:00
Tuma Hii kwa Barua pepeBlogu Hii!Chapisha kwenye XShiriki kwenye FacebookShiriki kwenye Pinterest

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Chapisho Jipya Taarifa za zamani Nyumbani
Jisajili kwenye: Chapisha Maoni (Atom)

LUPIMO CLINIC NI CLINIC INAYOTIBU MARADHI SUGU NA YA KAWAIDA KWA KUTUMIA MIMEA NA MATUNDA

Unknown
Tazama wasifu wangu kamili

IDADI YA WATEMBELEAJI WETU


widgeo.net
Follow this blog

Tuwekee email yako hapa

Jina

Barua pepe *

Ujumbe *

Recent Articles

  • KUHUSU MATATIZO YA KUMBU KUMBU
    Kila seli katika mwili wa binadamu inahitaji kupata hewa ya oksijeni na virutubisho vya kutosha ili viungo vya mwili viweze kufanyakazi...
  • (kichwa hakijaongezwa)
    FAIDA ZA MATUMIZI YA JUISI YA EMBE KIAFYA ZOTE ZIPO HAPA Embe ni moja ya tunda lenye ladha nzuri ...
  • (kichwa hakijaongezwa)
    FAHAMU KUHUSU PUMU YA NGOZI(ECZEMA)   Tunaendelea kutoa elimu ya masomo mbali mbali ili wewe ambaye unasumbuliwa na maradhi tof...
  • (kichwa hakijaongezwa)
    Parachichi: Kinga ya ugonjwa wa moyo na saratani ya matiti. Kama yalivyo matunda yote kwa ujumla kuwa yana faida sana katika mwili wa ...
  • (kichwa hakijaongezwa)
             FAHAMU HATUA NNE ZA VIDONDA VYA TUMBO Na TABIBU JOHN LUPIMO  Simu:0719097574 AU 0672666601 Mgonjwa asipopata tiba...

KARIBU LUPIMO SANITARIUM CLINIC

KARIBU LUPIMO SANITARIUM CLINIC
LUPIMO CLINIC NI CLINIC YAKO ITUMIE KUBORSHA AFYA YAKO, TUPIGIE WAKATI WOWOTE KUPITIA NAMBA 0769368546 AU 0672666601
Mandhari ya Awesome Inc.. Picha za mandhari zimetolewa na molotovcoketail. Inaendeshwa na Blogger.