Jumatatu, 1 Februari 2016

FAHAMU ATHARI YA TATIZO LA KUTOPATA CHOO (CONSTIPATION) NA JINSI YA KUEPUKA NA UGONJWA HUU
 Afya ya mwanamke na mzunguko mzuri wa hedhi's photo.Afya ya mwanamke na mzunguko mzuri wa hedhi's photo.

~Watu wengi wamekuwa wakilalamika juu ya tatizo la kutopata choo na pia kupata choo kigumu hili ni tatizo sugu sana miongoni mwa watu wengi Bila kujua ni tatizo ambalo linahitaji tiba ya haraka hata hivyo wengi huwa wanapuuzia na kuona ni tatizo la kawaida LAHASHA!! napenda kukuambia ukosefu wa choo kwa Muda mrefu ndio chanzo cha magonjwa mengine tena ya hatari zaidi kwasababu mtu unapokosa choo kikubwa kwa siku kadhaa uchafu unaotakiwa kutoka huwa unajikusanya tumboni na unapokosa sehem ya kutokea unahamia kwenye damu na kuingia katika mfumo wa damu na kuwa sumu na chanzo cha magonjwa mengine ambayo hujitokeza baadaye na kukuathiri zaidi,
 

~kwa kawaida mtu unapaswa kupata choo cha uhakika japo mara moja kwa siku na mara Tatu kwa wiki hivyo unapokosa choo kwa siku Tatu ilhali unakula elewa moja kwa moja una matatizo katika mfumo wa mmeng'enyo

CHANZO CHA TATIZO LA KUTOPATA CHOO (CONSTIPATION)
 

Tatizo hili husababishwa zaidi na ulaji mbovu wa vyakula na kutokujizoesha kujisaidia mara kwa mara pia kula vyakula vilivyokobolewa na matumizi mabaya ya dawa na magonjwa mengine pia na mabadiliko ya homoni mwilini ndio chanzo cha tatizo

DALILI ZA TATIZO HILI LA KUTOPATA CHOO
Dalili za tatizo hili ni kama ifuatavyo ÷
👉kupata Homa kali 👉kutapika na kupata vidonda nnje ya haja kubwa 👉kutumia nguvu na Muda mwingi kupata choo 👉ulimi kuwa na utando mweupe na hutoa harufu mbaya 👉kukosa hamu ya kula na tumbo kujaa gesi 👉kutetemeka kwa kuhisi baridii

KINGA NA MATIBABU YA TATIZO LA KUTOPATA CHOO
matibabu ya tatizo la kutopata choo ni magumu na marahisi pia kutokana na ukubwa wa tatizo ila kwa ufupi kila mtu anaweza kujikinga na kupunguza uwezekano wa kupata tatizo hili kwa kufuata kanuni za ulaji bora wa chakula kwasababu tatizo la kutopata choo husababishwa na namna unavyokula au kuishi hivyo ukifuata kanuni bora za ulaji chakula bora tatizo hili halitakupata hivyo njia sahihi ya kujikinga na tatizo la kutopata choo ni kula nafaka zisizokobolewa, matunda, mbogamboga, na kunywa maji mengi
 

~matibabu yake huhusisha ukubwa wa tatizo ambapo Kuna Tiba mbili ya kupewa dawa au kufanyiwa upasuaji kwa ajili ya kuondoa kinyesi kilichoganda na kuendelea na matibabu ya kuweza kukufanya kupata choo kwa urahisi

MADHARA YA KUKOSA CHOO
Kuna madhara makubwa iwapo hutaamua kupata tiba kwa kupuuzia na kuona ni tatizo la kawaida, madhara hayo ni ÷
👉KUPATA SARATANI YA UTUMBO 👉FIGO KUSHINDWA KUFANYA KAZI VIZURI 👉KUPATA PRESHA NA KUPATA UGONJWA WA INI 👉KUPATA MAGONJWA YA MOYO NK
KUMBUKA :zingatia kula milo mitatu kila siku, kula vyakula vyenye nyuzinyuzi nyingi (high fibre diet), kunywa maji mengi na fanya mazoezi mara kwa mara pia usizoee kutumia dawa za kemikali ovyo ovyo
NOTED : NDUGU RAFIKI KAMA UNA TATIZO HILI AU NDUGU YAKO ANA TATIZO LA KUTOPATA CHOO WASILIANA NA LUPIMO SANITARIUM CLINIC KUPATA USHAURI ZAIDI
 

asante kwa kuwa nami kupata elimu hii rafiki kama una maswali/maoni au mapendekezo yoyote tufikie lupimo katika vituo vyetu vilivyopo mikoani,


VITUO VYETU TUNAVYOPATIKANA LUPIMO SANITARIUM CLINIC NI KAMA IFUATAYO. IRINGA TUPO KIHESA NJIA PANDA YA MTWIVILA, MBEYA TUPO SOWETO KARIBU NA UWANJA WA SHULE YA MSINGI MWENGE, DAR ES SALAAM TUPO SINZA MORI AU SINZA MAPAMBANO NYUMA YA UKUMBI WA LULU, DODOMA TUPO AREA C KARIBU NA MSIKITI WA AREA C, SINGIDA TUPO MANYONI NJIA PANDA YA KUELEKEA CHIKOLA NA HEKA, GEITA TUPO MITI MIREFU KARIBU NA BICK HOTEL, MWANZA TUPO NYEGEZI KITUO CHA KIJIWENI AU KALFONIA,


kwa maelezo zaidi,maoni au ushauri wasiliana nasi kwa simu namba 0769368546,0719097574 na 0742120577 pia www.facebook.com/lupimoclinic,www.twitter.com/lupimoclinic na www.hulkshare.com/lupimoclinic.






Hakuna maoni:

Chapisha Maoni