Jumatatu, 1 Februari 2016

VIASHIRIA VYA MAAMBUKIZI YA MAGONJWA YA ZINAA KWA WANAWAKE


 leo nimeona ni vizuri tufahamishane kuhusu dalili za magonywa yanayoene kwa njia ya ngono

Kwa kuanza kwa sasa tutaanza na dalili ambazo hujitokeza kwa wanawake mara wanapopatwa na maambukizi haya:

Dalili za magonjwa ya ngono kwa wanawake / wasichana ni pamoja na:

- Kutokwa na ute usio wa kawaida ndani ya uke ukiwa mnene, mzito na una harufu mbaya au rangi

- Maumivu ya chini ya tumbo.

- Maumivu au kuhisi maumivu makali wakati wa kupitisha mkojo.

- Maumivu wakati wa kufanya ngono

- Kutoka damu ukeni isiyo ya kawaida

- Kuwashwa sehemu za siri

- Kupata uvimbe usio wa kawaida ukeni au katika sehemu za siri

- Jeraha, kidonda katika sehemu za siri

- Vipele, ikiwa ni pamoja vipele katika kiganja cha mkono na nyayo za miguu.


Kama utakuwa umeona dalili kama hizo basi ni vizuri ukawasiliana na Tabibu john lupimo ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa lupimo sanitarium  Clinic na utapata ushauri mzuri kutoka kwake mpigie simu sasa kwa simu namba 0769368546 au 0719097574 piga simu wakati wowote

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni