Ijumaa, 12 Februari 2016

Friday, February 12, 2016

Waziri Nchemba Afanya Ziara Ya Kushtukiza Saa Saba Usiku Machinjio Ya Ukonga Mazizi Na Kufukuza Viongozi Wote Wa Machinjio.

Je umeshindwa kubeba mimba? Je unauvimbe ndani ya mji wa mimba? Je unauvimbe kwenye ovari? Kutana na tabibu bingwa wa tiba asilia ndugu John lupimo wa lupimo  sanitarium clinic utatibiwa bila kufanyiwa upasuaji, anazo dawa zinazotengenezwa kama tiba lishe, mpigie kwa namba 0742120577 au 0672666601.
 


Waziri wa Kilimo na Mifugo Mwigulu Nchemba amefanya ziara ya Kushtukiza saa saba usiku wa kuamikia leo katika Machinjio ya Ukonga Mazizi.

Katika ziara hiyo, Waziri Nchemba  amekamata
ng'ombe 200 wakiwa wanaingizwa kwenye machinjio bila kibali halali, na kati yao ni ng'ombe 20 tu ndo walikuwa na kibali cha kuchinjwa, hivyo ushuru  wa ng'ombe 180  ulikuwa  unatafunwa  na  watumishi  waovu.

 
Baada  ya  kubaini  hali  hiyo,Waziri Nchemba ameufukuza  uongozi wote  wa  machinjio  hayo  na  kuagiza  vyombo  vya  dola  viwakamate  viongozi  wote waliohusika  na  kuwafikisha  mahakamani.


via mpekuzi blog
xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx

VITUO VYETU TUNAVYOPATIKANA LUPIMO SANITARIUM CLINIC NI KAMA IFUATAYO. IRINGA TUPO KIHESA NJIA PANDA YA MTWIVILA, MBEYA TUPO SOWETO KARIBU NA UWANJA WA SHULE YA MSINGI MWENGE, DAR ES SALAAM TUPO SINZA MORI AU SINZA MAPAMBANO NYUMA YA UKUMBI WA LULU, DODOMA TUPO AREA C KARIBU NA MSIKITI WA AREA C, SINGIDA TUPO MANYONI NJIA PANDA YA KUELEKEA CHIKOLA NA HEKA, GEITA TUPO MITI MIREFU KARIBU NA BICK HOTEL, MWANZA TUPO NYEGEZI KITUO CHA KIJIWENI AU KALFONIA,

kwa maelezo zaidi,maoni au ushauri wasiliana nasi kwa simu namba 0769368546,0719097574 na 0742120577 pia www.facebook.com/lupimoclinic,www.twitter.com/lupimoclinic na www.hulkshare.com/lupimoclinictanzania.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni