TUMIA FURSA HII KUJUA FAIDA ZA ZABIBU
Kama umeteseka kwa muda mrefu na tatizo la ugonjwa wa
kisukari sasa suluhisho lako limepatikana, kutana na tabibu bingwa ndugu john
lupimo wa lupimo sanitarium clinic kituo cha tiba asilia kuna dawa nzuri ambazo
zitatibu kabisa kisukari na kuponyesha kabisa, mpigie sasa hivi tabibu John
lupimo umwambie tatizo lako 0742120577,0769368546 au 0672666601.
Zabibu hujulikana kama chanzo kizuri
cha divai, lakini pia huweza kuliwa kama tunda na tunda hili hukuwa katika
kichana chenye zabibu 6 hadi 300.
Matunda haya inaelezwa kwamba
yalianza kulimwa huko nchini Uturuki, lakini kwa hapa kwetu nchini yanapatikana
sana mkoani Dodoma.
Matunda haya huwa na rangi nyekundu
iliyoiva, nyeusi, bluu ya kukoza , njano, kijani na hata pinki, licha ya kwamba
hapa kwetu Tanzania wengi tumezoea yale ya rangi nyeusi.
Zabibu ni moja ya tunda lenye sifa
nyingi na nzuri zaidi kutokana na uwezo wake wa kuupa mwili nguvu na kuimarisha
afya ya mishipa ya damu hususani ile inayosambaza damu kwenye nyama ya moyo.
Pia zabibu husaidia damu kuwa
nyepesi na kuifanya isigande ndani ya
mishipa ya damu, hivyo mtumiaji wa zabibu hupunguza hatari ya kupata kiharusi (stroke)
Tunda hili pia husifika kwa kutibu
tatizo la upungufu wa damu, hususani kwa wale wanaotumia mara kwa mara tunda
hili huwasaidia kuepukana na ugonjwa wa bawasili pia.
Hali kadhalika zabibu pia husaidia
katika tiba na kinga dhidi ya magonjwa ya ini kutokana na uwezo wake wa
kuliongezea ini uwezo wa kuondosha sumu mwilini na kuzalisha nyongo kwa wingi.
Mbali na faida hizo, pia zabibu
kutokana na kuwa na sukari yake ya asili hivyo huweza kumsaidia mtu katika
kupunguza uchovu wa mwili na kutibu maumivu yasiyokuwa na sababu za moja kwa
moja.
Sambamba na hayo, juisi ya zabibu (divai)
husaidia tumbo na utumbo kufanya kazi kwa ufasaha zaidi na kuzuia ukavu wa haja
kubwa , lakini pia divai huimarisha afya ya mishipa ya damu katika mfumo wa
kumeng’enya, kusaga na kusharabu chakula na viini lishe.
Lakini pia kutokana na madini
yaliyomo ndani ya zabibu huifanya divai kuwa ni dawa nzuri inayopunguza maumivu
ya tumbo yanayotokana na kujiminya kwa misuli ya kuta za matumbo (antispasmodic
effect)
Hizo ndio baadhi ya faida za zabibu
ambazo mtumiaji huweza kuzipata pale anapotumia tunda hili mara kwa mara.
Iwapo
unatatizo lolote la kiafya tafadhali fika lupimo sanitarium clinic katika vituo vyetu vilivyopo mikoani
VITUO VYETU TUNAVYOPATIKANA LUPIMO SANITARIUM CLINIC NI KAMA
IFUATAYO. IRINGA TUPO KIHESA NJIA PANDA YA MTWIVILA, MBEYA TUPO SOWETO KARIBU
NA UWANJA WA SHULE YA MSINGI MWENGE, DAR ES SALAAM TUPO SINZA MORI AU SINZA
MAPAMBANO NYUMA YA UKUMBI WA LULU, DODOMA TUPO AREA C KARIBU NA MSIKITI WA AREA
C, SINGIDA TUPO MANYONI NJIA PANDA YA KUELEKEA CHIKOLA NA HEKA, GEITA TUPO MITI
MIREFU KARIBU NA BICK HOTEL, MWANZA TUPO NYEGEZI KITUO CHA KIJIWENI AU
KALFONIA,
kwa maelezo zaidi,maoni au ushauri wasiliana nasi kwa simu
namba 0769368546,0719097574 na 0742120577 pia
www.facebook.com/lupimoclinic,www.twitter.com/lupimoclinic na
www.hulkshare.com/lupimoclinictanzania.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni