Jumatano, 3 Februari 2016


mwanafunzi wa mwaka wa pili katika chuo kikuu cha tumaini makumira jijini arusha amejinyonga baada ya kujifungua mtoto njiti 
habari hii inaletwa kwako kwa hisani kubwa ya 
lupimo sanitarium clinic kwa huduma nzuri ya kiafya, mawasiliano yetu ni 0769368546 au 0719097574 karibu sana


Mwanafunzi wa mwaka wa pili katika Chuo Kikuu Cha Tumaini Makumira jijini Arusha, Jennifer Meshack (26) amejiua kwa kujinyonga baada ya kujifungua mtoto ambaye hakutimiza miezi yaani njiti.

Kamanda wa jeshi la polisi Mkoa wa Arusha Liberatus Sabas alithibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema Jennifer alijifungua Januari 29, lakini bahati mbaya mtoto wake hakutimiza miezi na kesho yake asubuhi aliamka na kumnyonyesha mtoto kisha alipotea, mpaka kesho yake alipoonekana juu ya mti akiwa amejinyonga.
(Picha haihusiani na tukio)
xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx

VITUO VYETU TUNAVYOPATIKANA LUPIMO SANITARIUM CLINIC NI KAMA IFUATAYO. IRINGA TUPO KIHESA NJIA PANDA YA MTWIVILA, MBEYA TUPO SOWETO KARIBU NA UWANJA WA SHULE YA MSINGI MWENGE, DAR ES SALAAM TUPO SINZA MORI AU SINZA MAPAMBANO NYUMA YA UKUMBI WA LULU, DODOMA TUPO AREA C KARIBU NA MSIKITI WA AREA C, SINGIDA TUPO MANYONI NJIA PANDA YA KUELEKEA CHIKOLA NA HEKA, GEITA TUPO MITI MIREFU KARIBU NA BICK HOTEL, MWANZA TUPO NYEGEZI KITUO CHA KIJIWENI AU KALFONIA,



kwa maelezo zaidi,maoni au ushauri wasiliana nasi kwa simu namba 0769368546,0719097574 na 0742120577 pia www.facebook.com/lupimoclinic,www.twitter.com/lupimoclinic na www.hulkshare.com/lupimoclinic.



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni